Marekani kutumia nguvu zote ili kuishinda Urusi, bila kuhatarisha damu ya askari yeyote wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa Ukraine

Marekani kutumia nguvu zote ili kuishinda Urusi, bila kuhatarisha damu ya askari yeyote wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa Ukraine

Miaka 25 Urusi anawahubiria wokovu Ukraine hawakushika hata Aya moja wakaendelea kufukia vichwa vyao chini ya mchanga,,,,,acha tuu washikishwe adabu.
USA huko Syria,somalia, Afghan walipovamia kibari nao hawana.
Huyo kichwan hamna kitu, huenda haya mambo kaanza kuyafatilia hiivi majuzi baada ya Russia kuanzisha hii operation ya kijeshi .
 
Jamaa ana mikwara saana, alisema mtu akiingilia Ukraine kuipa msaada yeye ataipiga hiyo nchi, mbona hatupi hata kopo hapo UK, France, German? US tusiitaje kabisa.
URUSI Jana wamesitisha uuzwaji Gas Kwa Poland na Bulgaria .

Nchi 10 zmekubali Kulipa Kwa sarafu ya Urusi.

Ulaya wamejaa kikao Leo, wameamua, wataendelea kununua Gas kupitia nchi z Ulaya zilizokubali kulipia Gas Kwa sarafu ya Urusi

Maana yake, Poland, wamekataa kununua Gas ya Urusi Kwa bei ndogo, Sasa watanunua Gas hiyohiyo ya Urusi kupitia Taifa la Ujerumani na Kwa bei Kuna zaidi.

Ni akili au matope???????

Nyie waukraine kichwan hampo vizuri

HIII VITA, MWISHO WAKE UNAJULIKANA NAO NI URUSI ITASHINDA TU .
 
Jamaa ana mikwara saana, alisema mtu akiingilia Ukraine kuipa msaada yeye ataipiga hiyo nchi, mbona hatupi hata kopo hapo UK, France, German? US tusiitaje kabisa.
na NATO pia walidai hawata ruhusu Ukraine ivamiwe but badala yake wakasepa.
 
Na mrusi size yake ni Ukraine mwezi wa tatu huu kamasi zinamtoka,
Ajitutumue kuweka no fly zone ili kuzuia Ukraine asipate msaada na akina Boris wasiweze kutua kyiv au ajitutumua kumshambulia Marekani ili akome kumsaidia Ukraine asiishie kutoa maonyo tu.
kwa taarifa yako tokea wiki ya kwanza ya vita, Russia kaweka no fly zone pale, hakuna ndege inayokatisha kwa sababu kasambaratisha mifumo ya anga ya ukraine!

hao kina boris walienda kwa treni, sio kwa ndege
 
Acha ushamba na ujuaji hakuna silaha zinazo perekwa Ukraine kwa ndege,silaha zote zinazo pelekwa Ukraine hupelekwa kwa njia ya tirein na barabara kupitia poland na Romania.
Hata viongozi wa nchi za magharibi unao waona huwa wanaenda Ukraine kwa njia hizo na si kwa ndege tena huwa wanatoa kabisa taarifa kwa Urusi ili isije kutokea ajali inayo weza kumuua kiongozi.
 
Kwa Mara nyingine Tena akiwa Mbele ya Bunge lake Leo hii, Putin anawaonya watakaojaribu kuingilia !!!

[emoji635]Russia will adequately respond to all challenges and threats, it has always been so and will be now — Putin.

The main thing from the president's speech at the Council of Legislators.

[emoji3502]Moscow cannot allow the creation of anti-Russian territories around itself.

The Russian soldiers and officers prevented the danger that hung over Russia.

If someone wants to interfere in the situation in Ukraine and creates a threat, the strikes will be lightning fast.

"The decision on this has already been made."

[emoji3502]Russia uses threats to it in response to means that its opponents do not have.

.
 
Mkuu Vita ni sayansi siyo kuwa na silaha! Uchumi wa Russia huwezi kuulinganisha na uchumi wa US.
Bila kuwa na uchumi imara huwezi kupigana vita ukashinda kiwepesi.
Pesa,pesa pesa,ujinga wa kiwango cha digrii,kombora linazuiliwa na pesa?,
 
Kwako Russia kuivamia nchi nyingine na kufanya mauaji na uharibifu wa kila aina ni sawa ?!. Lazima utakuwa na kasoro kichwani. Nani kampa Russia license ya kuua watu wa mataifa mengine, na kuwapangia lifestyle anayoitaka yeye Russia ?!.
Hiyo license ya kuuwa watu ilitolewa pia kwa marekani kuuwa watu Iraq,libya,na Afghanistan,
 
Mkuu Vita ni sayansi siyo kuwa na silaha! Uchumi wa Russia huwezi kuulinganisha na uchumi wa US.
Bila kuwa na uchumi imara huwezi kupigana vita ukashinda kiwepesi.
Nani kakwambia kuwa na uchumi mkubwa ndio nguvu za kijeshi?? Kwa akili zako finyu unahisi UFARANSA anaweza kumpiga URUSI?? maana hao France wana uchumi mkubwa.
 
Kwa strategy hiyo Marekani anaweza kufanikiwa! Yeye atakachofanya ni ku prolong hiyo vita.Russia atatumia silaha zake zote mpaka atafikia hatua ya kukata tamaa na huenda mwishoni akaomba poo.
Akiomba poo ndipo Warusi wataambiwa lazima Putin apelekwe the Hague kwa uharifu wa kivita na huenda Russia ilipe gharama za uharibifu alioufanya Ukrane.
Nawaza lakini!
Wewe uzijui nchi zenye kuundq siraha.......kwa kadili zinapokuwa vitani ndiyo nguvu ya kuunda siraha zinaongezekq hivyo urussi itaongeza bajeti ya jeshi kwenye kuunda na kuzarisha siraha kwa wingi
 
Jamaa ana mikwara saana, alisema mtu akiingilia Ukraine kuipa msaada yeye ataipiga hiyo nchi, mbona hatupi hata kopo hapo UK, France, German? US tusiitaje kabisa.
Madikteta wanamikwara mbuzi ebya hatari
 
Kwa strategy hiyo Marekani anaweza kufanikiwa! Yeye atakachofanya ni ku prolong hiyo vita.Russia atatumia silaha zake zote mpaka atafikia hatua ya kukata tamaa na huenda mwishoni akaomba poo.
Akiomba poo ndipo Warusi wataambiwa lazima Putin apelekwe the Hague kwa uharifu wa kivita na huenda Russia ilipe gharama za uharibifu alioufanya Ukrane.
Nawaza lakini!
Sababu marekani haishiwi silaha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu Vita ni sayansi siyo kuwa na silaha! Uchumi wa Russia huwezi kuulinganisha na uchumi wa US.
Bila kuwa na uchumi imara huwezi kupigana vita ukashinda kiwepesi.
Huku wanamlipa zaidi ya $900 kwa siku ya gas [emoji618] halafu unasema hana uchumi imara upo serious kweli [emoji3][emoji3]
 
Wamarekani ni wabaya! Wameamua kuingia vitani na Urusi kwa kutumia nguvu zao zote kwa maana ya zana za kivita na pesa, lakini hawako tayari kumwaga hata damu ya mtu mmoja wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa ukraine!!

Marekani hawajali Ukraine ikiangamizwa na Urusi, wanachohitaji tu ni kwamba wanajeshi wa Ukraine watumike kufikia malengo ya Marekani ya kuidhoofisha Urusi, bila kujali watamwaga damu kiasi gani cha watu wa Ukraine katika kufikia hilo lengo la Marekani.

Kwa mtazamo wa Marekani, damu ya askari mmoja wa Marekani ina thamani kuliko damu ya watu wote wa Ukraine!

Marekani hayuko tayari kupigana ana kwa ana na Urusi lakini yuko tayari kupigana na Urusi kwa kutumia damu ya watu wa Ukraine!! Kwa bahati mbaya sana rais wa ukraine hana jinsi ya kujinasua katika mtego huo!!
Vp bashite?
GSM ashakupa eneo lako pale kinondoni?

Ulijikuta mungu mtu enzi za yule maiti
 
Kwa strategy hiyo Marekani anaweza kufanikiwa! Yeye atakachofanya ni ku prolong hiyo vita.Russia atatumia silaha zake zote mpaka atafikia hatua ya kukata tamaa na huenda mwishoni akaomba poo.
Akiomba poo ndipo Warusi wataambiwa lazima Putin apelekwe the Hague kwa uharifu wa kivita na huenda Russia ilipe gharama za uharibifu alioufanya Ukrane.
Nawaza lakini!
Ambacho umeamua kutokukitazama ni kuwa, urusi anaangalia silaha zinavyoingizwa na mahali wanapoziweka halafu anaziangamiza zote!! Hata usiku wa kuamkia leo ameangamiza silaha lukuki toka nchi za magharibi. Si muda mrefu mabeberu wataona njia wanayotumia haina tija na watalazimika kuacha!! Si rahisi Urusi kukubali kushindwa!!
 
Wewe uzijui nchi zenye kuundq siraha.......kwa kadili zinapokuwa vitani ndiyo nguvu ya kuunda siraha zinaongezekq hivyo urussi itaongeza bajeti ya jeshi kwenye kuunda na kuzarisha siraha kwa wingi
Sasa akiishia kugharamia utengenezaji wa silaha tu vipi mahitaji mengine ya wananchi wake itafanyaje?
 
kwa taarifa yako tokea wiki ya kwanza ya vita, Russia kaweka no fly zone pale, hakuna ndege inayokatisha kwa sababu kasambaratisha mifumo ya anga ya ukraine!

hao kina boris walienda kwa treni, sio kwa ndege
Ana huo uwezo wa kufunga anga au unacoment kufurahisha nafsi yako tu[emoji2][emoji2]
Screenshot_2022-04-27-19-59-46-10.jpg
 
Ambacho umeamua kutokukitazama ni kuwa, urusi anaangalia silaha zinavyoingizwa na mahali wanapoziweka halafu anaziangamiza zote!! Hata usiku wa kuamkia leo ameangamiza silaha lukuki toka nchi za magharibi. Si muda mrefu mabeberu wataona njia wanayotumia haina tija na watalazimika kuacha!! Si rahisi Urusi kukubali kushindwa!!
Ni kweli kabisa!
 
Mkuu Vita ni sayansi siyo kuwa na silaha! Uchumi wa Russia huwezi kuulinganisha na uchumi wa US.
Bila kuwa na uchumi imara huwezi kupigana vita ukashinda kiwepesi.
Ni kweli uchumi wa urusi ni mdogo ukilinganisha na marekani, lakini wamejipanga kwa kuzingatia ukweli huo. Mkakati wa kuua uchumi wa urusi kwa ghafla tayari umeshashindwa. Urusi waliliona hilo mapema wakaamua kuuza gesi na maffuta yao kwa ruble!!
Marekani hakuwahi kufikiri kama urusi ingejinasua kwenye mtego wa kuporwa gesi yake na mafuta! Maana tayari benki ya urusi ilishawekewa vikwazo vya kufanya miamala kwa kutumia dola au euro. Kwa hiyo kwa urusi dola au euro haina thamani, ni sawa na jiwe! imewauma sana mabeberu kuona urusi imefanikiwa kuruka kiunzi hicho na thamani ya ruble imepanda sana,
 
Ana huo uwezo wa kufunga anga au unacoment kufurahisha nafsi yako tu[emoji2][emoji2]View attachment 2202664
Usidanganywe na propaganda za nchi za magharibi!! Kila siku ndege za urusi zinaruka na kufanya mashambulizi kibao. Urusi kama haijatawala anga la ukraine kwaq nini ukraine kila siku ilikiuwa inalilia NO FLY ZONE?
Urusi ilishambulia kwa ndege kambi kubwa ya kijeshi iliyopo mpakani na poland, mahali ambapo walikuwa na ghala za silaha toka nchi za ulaya. Shambulizi lilifanikiwa bila ndege yake hata moja kushambuliwa!! Bila kudhibiti anga wasingeweza kufanya hicho!
 
Back
Top Bottom