Marekani: Mwanamke achangiwa zaidi ya bilioni moja baada ya kumwita mtoto mweusi wa miaka 5 niga

Marekani: Mwanamke achangiwa zaidi ya bilioni moja baada ya kumwita mtoto mweusi wa miaka 5 niga

View attachment 3323601
Tukio la kibaguzi lililorekodiwa katika uwanja wa michezo wa Minnesota limezua hasira na kuzua mzozo usiotarajiwa baada ya mwanamke anayeitwa Shiloh Hendrix (kwenye picha) kurekodiwa akielekeza maneno ya ubaguzi wa rangi kwa mtoto mweusi mwenye umri wa miaka mitano, ambaye inasemekana ana autism - na baadaye kuchangisha mamia ya maelfu ya dola katika “GoFundMe” kampeni.

Video hiyo ya mtandaoni, iliyorekodiwa katika sehemu ya michezo ya Soldiers Field huko Rochester - Marekani, inaonyesha mwanamke huyo mwenye tatoo akiwa amemshika mtoto wake mchanga huku akikabiliwa na mwanamume anayemshtumu kwa kumwita mtoto mweusi mwenye umri wa miaka 5 'N-word.'

Analipo kabiliwa na mwanaume huyo. Shiloh hakanushi shtaka hilo bali aliendelea kurudia neno niga.

Makabiliano hayo yanaripotiwa kuwa yalianza baada ya kudai mtoto huyo mweusi alichukua toy kutoka kwa mfuko wa nepi wa mwanawe.

Lakini katika hali ya kushangaza, Shiloh alianzisha kampeni ya kuchangiwa katika njia ya mtandao, akidai kuwa video hiyo inayonwonyesha akitoa maneno ya kibaguzi, ilimsababishia yeye na familia kutishiwa.

Kampeni yake iliyopata umaarufu kwa kasi imekusanya zaidi ya $480,000 na lengo la $1 milioni.
Soma zaidi hapa: Shock twist after mom hurls vile slur to 5-year-old on a playground
Mnataka mpendwe na wqzungu ili iweje. Hebu watu weusi simameni mfanye mambo yenu basi.
 
Waafrika weusi tunajibagua wenyewe:
Mzungu akiwaita mtu mweusi mnakasirika na kusema mmebaguliwa:
Mlitaka muitwe mtu mweupe ?
Bora angetumia neno black kama ambavyo unalitumia hapa. Laiti ungejua chanzo cha hilo neno nigger usingeandika hicho ulichokiandika.
 
Nigger ni tusi akitamka mzungu lakini akitamka mweusi huwa siyo tusi?nashangaa ukisikiliza nyimbo nyingi za hao weusi wenzetu hilo neno hutamkwa kama sijui kitu gani.

Yaani hukuti wakisita kulitamka.
 
😂😂😂😂😂Sijui umewaza nini
Nimewaza wewe ni mdada nawakubali humu , na mimi nina comment ngumu mda mwingine ila mara nyingi natoa fundisho ,japo mimi ni mtu harsh mno ila mara nyingi nafanya hivi kujengea wanadamu wenzangu mtazamo mwingine nnje ya box🤔
 
Kati ya vitu naamini ni freedom of expression. Tatizo kuna wengine wana stress zao huko au tabia ya kutaka kuwaendeaha watu watakavyo. Imagine comment ya duh aiseee inawatoa watu povu wakati muda huo wa kulalamika angeweza kuchangia mada husika bila kutaka kupangia wengine vya kukoment. hivyo kufupisha mgogoro wanapumzika ignore list,siku hizi sipendi kutukanana mitandaoni

Nitajie jimbo ambalo halina msikiti kwa ajili ya waislam?
Mkuu Wala usiangaike naye huyo ni mdini sana. Ishu inahusu ubaguzi analeta mambo za ukristo na uislamu. Yeye kila akiwa na chuki na nchi fulani lazima aweke mambo ya udini huyo.
 
maku hao wananijaza nyembe sana, angekua huku bongo ningehakikisha namuingilia kinyume na maumbile
 
Mkuu Wala usiangaike naye huyo ni mdini sana. Ishu inahusu ubaguzi analeta mambo za ukristo na uislamu. Yeye kila akiwa na chuki na nchi fulani lazima aweke mambo ya udini huyo.
Hujui ndani ya majeshi ya marekani waislam wapo na wana haki zao kamili.
 
Kati ya vitu naamini ni freedom of expression. Tatizo kuna wengine wana stress zao huko au tabia ya kutaka kuwaendeaha watu watakavyo. Imagine comment ya duh aiseee inawatoa watu povu wakati muda huo wa kulalamika angeweza kuchangia mada husika bila kutaka kupangia wengine vya kukoment. hivyo kufupisha mgogoro wanapumzika ignore list,siku hizi sipendi kutukanana mitandaoni
Duuh mimi nawatoa wote ignore lists yani nginja nginja mwendo wa ngiri mkia juu ,nilionekana goigoi sana humu😅🤣🤣
 
Right wings MAGA wakiongozwa na Trump na Elon wanaiharibu Marekani kutokea ndani.
Ubaguzi upo ndani ya Marekani hata kabla ya baba yake na Trump kuzaliwa.
 
Je ingekuwaje kama ccm wanavyonyanyasa wapinzani hivi wangekuwa ni wazungu...!!! Najaribu tu kuwaza.
 
Back
Top Bottom