Marekani: Mwanamke achangiwa zaidi ya bilioni moja baada ya kumwita mtoto mweusi wa miaka 5 niga

Mnataka mpendwe na wqzungu ili iweje. Hebu watu weusi simameni mfanye mambo yenu basi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sijui umewaza nini

Numbi habari mzee wa ku wa ignore 😁😁 siku wew una ni ignore mimi nakufa na kujitoa humu kabisaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Waafrika weusi tunajibagua wenyewe:
Mzungu akiwaita mtu mweusi mnakasirika na kusema mmebaguliwa:
Mlitaka muitwe mtu mweupe ?
Bora angetumia neno black kama ambavyo unalitumia hapa. Laiti ungejua chanzo cha hilo neno nigger usingeandika hicho ulichokiandika.
 
Nigger ni tusi akitamka mzungu lakini akitamka mweusi huwa siyo tusi?nashangaa ukisikiliza nyimbo nyingi za hao weusi wenzetu hilo neno hutamkwa kama sijui kitu gani.

Yaani hukuti wakisita kulitamka.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sijui umewaza nini
Nimewaza wewe ni mdada nawakubali humu , na mimi nina comment ngumu mda mwingine ila mara nyingi natoa fundisho ,japo mimi ni mtu harsh mno ila mara nyingi nafanya hivi kujengea wanadamu wenzangu mtazamo mwingine nnje ya boxπŸ€”
 
Kati ya vitu naamini ni freedom of expression. Tatizo kuna wengine wana stress zao huko au tabia ya kutaka kuwaendeaha watu watakavyo. Imagine comment ya duh aiseee inawatoa watu povu wakati muda huo wa kulalamika angeweza kuchangia mada husika bila kutaka kupangia wengine vya kukoment. hivyo kufupisha mgogoro wanapumzika ignore list,siku hizi sipendi kutukanana mitandaoni
Nimewaza wewe ni mdada nawakubali humu , na mimi nina comment ngumu mda mwingine ila mara nyingi natoa fundisho ,japo mimi ni mtu harsh mno ila mara nyingi nafanya hivi kujengea wanadamu wenzangu mtazamo mwingine nnje ya boxπŸ€”
 
Nitajie jimbo ambalo halina msikiti kwa ajili ya waislam?
Mkuu Wala usiangaike naye huyo ni mdini sana. Ishu inahusu ubaguzi analeta mambo za ukristo na uislamu. Yeye kila akiwa na chuki na nchi fulani lazima aweke mambo ya udini huyo.
 
maku hao wananijaza nyembe sana, angekua huku bongo ningehakikisha namuingilia kinyume na maumbile
 
Mkuu Wala usiangaike naye huyo ni mdini sana. Ishu inahusu ubaguzi analeta mambo za ukristo na uislamu. Yeye kila akiwa na chuki na nchi fulani lazima aweke mambo ya udini huyo.
Hujui ndani ya majeshi ya marekani waislam wapo na wana haki zao kamili.
 
Duuh mimi nawatoa wote ignore lists yani nginja nginja mwendo wa ngiri mkia juu ,nilionekana goigoi sana humuπŸ˜…πŸ€£πŸ€£
 
Right wings MAGA wakiongozwa na Trump na Elon wanaiharibu Marekani kutokea ndani.
Ubaguzi upo ndani ya Marekani hata kabla ya baba yake na Trump kuzaliwa.
 
Je ingekuwaje kama ccm wanavyonyanyasa wapinzani hivi wangekuwa ni wazungu...!!! Najaribu tu kuwaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…