Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Sio kuwa USA ameshusha hadi 30 na China ndo 10?
Yeah niliwalenga nyie wafuasi wa china leo na huu uwezo wangu mdogo ila nina uzoefu japo nilijua nitawagusa marafiki zangu kama wewe na Mi mi
jibu swali, umewahi kufika USA? Leo nataka nikupe nikuongezee kitu kwenye ufahamu wako... USA fursa ziko kwa matajiri 😄 hizi story mnazitoa wapi nyie wabongo..Yaani unakataa hiyo picha kuwa sio Marekani?
Marekani fursa iko kwa matajiri wachache na ndio ambao wameshika asilimia 80% ya uchumi wa Marekani
China na ya Tanzania haina tofautiNyie bishaneni weeee ila main issue ni kuwa difference between rich and poor ni kubwa Marekani kuliko China kwakuwa Marekani ni capitalist tangia miaka ya nyuma. Marekani matajiri tu ndo wanamiliki ardhi. Uzuri wa serikali ya Marekani ni kuwa working class yake inazingatiwa yaani ina standard of living nzuri ukilinganisha na working class ya China.
Ndiyo nimewahi kufikajibu swali, umewahi kufika USA? Leo nataka nikupe nikuongezee kitu kwenye ufahamu wako... USA fursa ziko kwa matajiri 😄 hizi story mnazitoa wapi nyie wabongo..
Mwaka wa 7 naishi huku ila ni mwaka wa 5 kama raiaKawaida mkuu no hard feelings
Nakazia✍️Ni kubwa jinga ambalo bado linaishi kwenye ndoto za mwaka 47.
Na kibaya zaidi limetengeza kizazi cha ovyo, ambacho kinadhani dunia ni Marekani.
KivipiNakazia✍️
umewahi kufika sehemu gani na ulienda kufanya nini?Ndiyo nimewahi kufika
Vijana wengi watetezi wa China kutoka Africa hawajawahi kufanya kazi us na nchi za ulayaumewahi kufika sehemu gani na ulienda kufanya nini?
Hii ni kweli, jingine ni Mchina bado anahitaji soko la Mmarekani japokuwa inaongozwa na domokaya.Uongozi hauhitaji mihemko na kutaka sifa za kutrend kwenye social media
umewahi kufika sehemu gani na ulienda kufanya nini?
wanaishi kwenye ulimwengu wa propaganda na hata hao homeless hawajui chochote kuwahusu... nawapenda wachina sababu hawachagui kazi, mmarekani yupo tayari kulala barabarani sababu tu amekosa kazi anayoipendaVijana wengi watetezi wa China kutoka Africa hawajawahi kufanya kazi us na nchi za ulaya
Wewe unajua japo mtu kokosa kazi us mtu awe kiazi wa mwishowanaishi kwenye ulimwengu wa propaganda na hata hao homeless hawajui chochote kuwahusu... nawapenda wachina sababu hawachagui kazi, mmarekani yupo tayari kulala barabarani sababu tu amekosa kazi anayoipenda
wachina USA wanagombania vibarua na wabongo😀
umeanza kuweka tena siri!! sawaBoston, kuhusu kufanya nini hilo ni siri yangu. Na wewe mwenzangu?
Asante kwa maelezo na hongera kwa ujuaji.Sio kosa lako tatizo ni lugha na kutojua mambo yanayohusika
Marekani kapunguza hadi 10% kama China
Hiyo 20% ni ya fentanly haihusiani na zile tariffs za kuanzia April 02. Ndio maana inaonekana Marekani kaweka 30%
Makubaliano haya yanahusu tariffs aliyoanzisha Trump April 02 alipopandwa na wazimu na kuongeza tariffs kwa China
Sasa China imemnyenyekeza walimwambia ukitaka makubaliano aondoe tariffs alizoongeza
Marekani imekubali ndio maana wamefanya huo mkutano
Kaka nizuiliwe kuongea na watu wasio na pesa, hivi sijui huwa mnanichukuliaje humu?Asante kwa maelezo na hongera kwa ujuaji.
View attachment 3332009I