Marekani na China zafikia makubaliano ya kibiashara baada ya mvutano wa muda mrefu

Acha porojo jombaa,uchumi WA china ni uchumi bandia,ni basi tu welevu wanakaa kimya
 
fuatilia NEWS kwenye vyombo vya habari mkuu hiyo ni habari ya ukurasa wa mbele magazeti makubwa yote
Nimefuatilia ni tofauti na ulichoandika. Ukweli ni kwamba ni pause kwa siku tisini na kila upande umeshusha tariffs kwa 155%
 
Nimefuatilia ni tofauti na ulichoandika. Ukweli ni kwamba ni pause kwa siku tisini na kila upande umeshusha tariffs kwa 155%
Hii ni BBC

US tariffs on Chinese imports will fall from 145% to 30%, while Chinese tariffs on US goods will fall from 125% to 10%


angalia hapo sasa nani kapigwa,
% hesabu aslimia zinarudishs tarrifs za us kwenda china 115% na hesabu zijatoa mimi ziko humo kwenye habari. Hata kama ni siku 90 hizo siku 90 biashara zitafanyika kwa vibano hivyo.

Hivyo jamaa zako wachina wameshushwa toka 125% to 10%. Yaani akina Trump wameona basi yaishe kapata kipondo cha kutosha.
 
Usiropoke ujinga wewe.
Aliyetaka yaishe ni Marekani.
Marekani ndio iliyohitaji hayo mazungumzo.
Kama China ni mtu wa kusarenda basi hata 2018 angesarenda ila alikazana hadi USA ilishindwa.
 
Usiropoke ujinga wewe.
Aliyetaka yaishe ni Marekani.
Marekani ndio iliyohitaji hayo mazungumzo.
Kama China ni mtu wa kusarenda basi hata 2018 angesarenda ila alikazana hadi USA ilishindwa.
Hiyo jinga wewe ndio nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…