Bashir yuko jela gan? Au una jela umetengenezq sku iziwewe umeitaja china, china hasaidii yoyote yule, mfano mzuri bashir wa sudani hakuna nchi iliyoinufaisha china afrika kama sudani leo hii bashir yuko jela, alipopinduliwa mbona china haikumkingia kifua? kama mnamtegemea china poleni kwani hata yeye (china) ana mabattle yake kwa nini aje awasaidie ninyi kwa lipi haswa, kwamba kesho akivamiwa na kwa ajili taiwan mtamsaidia, au? …
Ndo nakuonyesha jinsi gan sio rahisi ivo west kuingia nchi yoyote, tatizo lenu mnadhan kama nchi zote ni mali ya west na wao ndo wanaamua tufanye nn sahihi na nn sio sahihi, izo zama zishaishaSasa warisk wananchi wao kwa kipi Uganda au Rwanda.
Mapenzi upofuWe ni mjinga, cha kwanza uelewe walioleta fujo juzi hawazidi ata 15k,
Shauri yako we endelea kudhan kila mtu ana kichwa kibovu kama nyieMapenzi upofu
Kwahiyo waliokufa ni 10 kwa data za Mwigulu.Shauri yako we endelea kudhan kila mtu ana kichwa kibovu kama nyie
Hivi tunavyozungumza wanamuondoa raisi wa Venezuela Nicolas maduro😂😂 mara ya mwisho ilikua lini marekani ametoa mtu madarakani, hio marekani unaoiongea saahv inaendeshwa na israel sio marekan ile unaoijua
🤣🤣🤣🤣🤣Mimi ni mtu mzima sana kwa umri. 🤣🤣 Ila hawa watoto wa 2000 ninawaogopa mno. Hawa genz wakipewa shehena ya drone wanaweza wakakaa geto wakamtungua sir100 live kwenye tv. Huku yeye anajiona kama anacheza gemu la ps la kurusha ndege.
Hii ni nadhariaFuatilia, Magufuli aligusa interest zao (makinikia) etc wakamuondoa kivingine.
Maduro huko Caracas 1 haisomi wala 2 haisomi. Mabwana zake kina Putin, Xi na Ayatollah wote wameufyata wanaangalia tu USA anavyo mnyonga taratibu hadi atakapoenda kumkamata kama kuku.Ilikua zaman sio sasa, karne hii lazima uchague upande mfano wa wamarekani na genge lake ama upande wa china na genge lake
Heri tu wote tuungue, haiwezekani leo hii watoto wa wenzake amewaua na hata maiti zao hazijaonekana, halafu yeye watoto wake anawateua kuwa mawaziri...Tusifike huko, huko ni kutia nchi kiberii wote tutaungua
Wana uhuru wa maoni,demokrasia yao imekomaa na hakuna hofu ya kutekwa wala kuigopa ogopa serikali kama ilivyokuwa kipindi cha mtemi Gaddaf.Hiyo Libya sasa hivi hali yake ikoje? baada ya kuondoshwa Gadaffi
Hizo line mbili za mwisho ndo huwa unakoseaga siku zoteWana uhuru wa maoni,demokrasia yao imekomaa na hakuna hofu ya kutekwa wala kuigopa ogopa serikali kama ilivyokuwa kipindi cha mtemi Gaddaf.
Halafu kwanza utawala wa Muammar Gaddafi kamwe huwezi kuulinganisha na utawala wa huyu shetani wa kizanzibari, Gaddaf alikuwa anajali watu wake eti na hakuwahi hata siku moja kutanganza vita dhidi ya raia wake kama alivyofanya mama ako samia janaa wakati anaongea na vizee vya ccm vya Dar es salaam...
...tofauti kabisa na hili zimwi la kizanzibari ambalo linatuchukia sana wanainchi hususani watanganyika na liko tayari kutuua kwa maelfu hili libaki madarakani na wakati hakuna cha maana linachokifanya zaidi ya kuuza rasilimali na kujineemesha yeye na familia yake.
Wapo walibya wanaojuta kuondoka kwa Gaddafi, ila niamini mimi siku huyu mama ako shetani samia akidondoka watanganyika watatembea uchi kwa furaha na hakuna atakayejuta zaidi ya nyie machawa na wajinga mliojaa udini kwenye vichwa vyenu.
Mzee usiwaze kwa kubweteka!Maisha sio marahisi ivo, nchi kama congo ni rahisi kwa sababu nchi ni kubwa sana kuna sehem wana msa tafauti lugha tafauti, yaani community mpya kwa tz sio rahisi ivo
Bashir yuko jela gan? Au una jela umetengenezq sku izi
2) Diplomasia ni uwanja mpana, kila nchi ina namna ina fungamana na mwenzake, ukiskia china na tanzania ina uhusiano wa karibu, wewe unadhan uhusiano huo ni upi? Maana yake china wapo mpaka ndan ya jeshi letu na kusambaza vifaa vya vita, nchi kama hio huezi kuivamia
Sudan haina uhusiano wa karibu na china, sudan ni kundi moja na palestine, pakistan ambao ni adui mkubwa wa china, huezi kuweka diplomasia ya karibu na nchi hii
Unaijua China wewe? Enzi za USSR angalau!Ilikua zaman sio sasa, karne hii lazima uchague upande mfano wa wamarekani na genge lake ama upande wa china na genge lake
Ngoja tuje tuwasambaratishe na bichura ajuzaShauri yako we endelea kudhan kila mtu ana kichwa kibovu kama nyie
Mkuu wewe unaona Samia anaweza kuruhusu maandamano ya amani yenye kumpinga yeye?Hizo line mbili za mwisho ndo huwa unakoseaga siku zote
Aliyemfananisha na Gadaffi wala sio mimi ni huyo niliyereply comment yake ila kwa chuki zako ukaona unishushie essays mimi
Hali ya Libya kwa sasa haifananii na ile ya kipindi cha Gadaffi sio lazima kuwe na utekaji kama Tz ndo watu waweze kureact Madagascar hakukuwa na utekaji lakini watu walitoka so kila nchi ina matatizo yake yanayowafanya waweze kudai haki zao
Hali ya Libya sio shwari kama unavyodai wewe
La mwisho hamna anayetetea wauaji au watekaji hapa napinga njia yenu mliyopanga ya kufanya maandamano yasiyo ya amani
Brother give it a try.....Gaddafi na Samia nani alikuwa na uwezo kumzidi mwingine.
Pole sana umeongea kwa hisia lkn umeongea ukweli.Heri tu wote tuungue, haiwezekani leo hii watoto wa wenzake amewaua na hata maiti zao hazijaonekana, halafu yeye watoto wake anawateua kuwa mawaziri...
...na mbaya zaidi anakuja kuwachamba wazazi wa watoto hao ambao amewaua na kuwazika kama mizoga, pasipokujali maumivu waliyonayo, na wakati kuna vijana wengi wameuawa bila hatia mfano wale watoto wacheza mpira kule Mwanza.
Hii serikali haramu inaongozwa na zimwi lisilojali kabisa uhai wa maisha ya watu wengine mbali na famia yake, na zimwi hili linatakiwa kuondoka kwa njia yoyote ile...
...mimi kwakweli leo hii wakija hata M23 wakaonesha nia ya kuuangusha huu utawala wa shetani samia niko tayari kuwapa support.
Hujui ni jinsi gani ameumiza familia za watu huyu shetani wa kizanzibari wakati huo yeye na familia yake wakizidi kuogelea kwenye neema ya utajiri unaonuka damu za watu.