Trump asitake kutuharibia dunia yetu kwa kuhamisha taifa fulani na kulipeleka nchi fulani. mbaya zaidi watu hao hawafanani na watu wanakopelekwa kama hao wasomali na wapalestina wapi na wapi zaidi ya uislam wao? angalau wasudan ni waarabu kule kwa kina daghalo na burhan wale majenerali wanaonyukana
Hivi Trump aliwaza nini kama si mzaha wa kuchekesha kutaka kuwapeleka wapalestina somalia na sudan nchi za kiwendawazimu kila siku ni vita za kishenzi tu? au aliona wapalestina ni watu wa vitavita tu akaona huko patawafaa?