Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
😅😅😅kwanini Mkuu?Nimecheka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅kwanini Mkuu?Nimecheka sana
Hii Huwa inamaliza uhasama na utengano.Wakija wakubali kuchanganyikana na wazawa, mabinti zao waolewe na wenyeji na wao waoe mabinti wa kienyeji na wajue huku hakuna udini na ukabila
Mnapenda mteremko😅😅😅Wapewe kigamboni na izo nchi za kiarabu ziijenge tz kama walivotka kuijenga gaza
Trump asitake kutuharibia dunia yetu kwa kuhamisha taifa fulani na kulipeleka nchi fulani. mbaya zaidi watu hao hawafanani na watu wanakopelekwa kama hao wasomali na wapalestina wapi na wapi zaidi ya uislam wao? angalau wasudan ni waarabu kule kwa kina daghalo na burhan wale majenerali wanaonyukanaTrump alishabadili gia angani jana kakanusha anasema wataendelea kubaki gaza
hapo sawa!🤣🤣🤣ðŸ¤