Marekani na Israel wameziomba Nchi za Afrika Mashariki zikubali kuwapokea Wapalestina wa Gaza

Marekani na Israel wameziomba Nchi za Afrika Mashariki zikubali kuwapokea Wapalestina wa Gaza

Wakija wakubali kuchanganyikana na wazawa, mabinti zao waolewe na wenyeji na wao waoe mabinti wa kienyeji na wajue huku hakuna udini na ukabila
Hii Huwa inamaliza uhasama na utengano.

Burundi ma Rwanda wangefnya hivi kati na TuTsi na Hutu kusingekuwa na shida.
 
Trump alishabadili gia angani jana kakanusha anasema wataendelea kubaki gaza
Trump asitake kutuharibia dunia yetu kwa kuhamisha taifa fulani na kulipeleka nchi fulani. mbaya zaidi watu hao hawafanani na watu wanakopelekwa kama hao wasomali na wapalestina wapi na wapi zaidi ya uislam wao? angalau wasudan ni waarabu kule kwa kina daghalo na burhan wale majenerali wanaonyukana
 
Hivi Trump aliwaza nini kama si mzaha wa kuchekesha kutaka kuwapeleka wapalestina somalia na sudan nchi za kiwendawazimu kila siku ni vita za kishenzi tu? au aliona wapalestina ni watu wa vitavita tu akaona huko patawafaa?
 
Back
Top Bottom