Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Ila watu hua wana moyo sana kwakweli
Yaani katika hali yeyote ile iwayo unaanzaje kumtukana mtu yaani hata kama unamjua ama humjui
 
Marekani na mke wake wao ndiyo wameshambulia Yemen leo wanatangaza vita vimeisha😂😂

Wanalazimisha kuwa nchi nyingi zimeshiriki shambulio la jana Yemen kahoji hizo nchi kama zimeshiriki vita zimekataa.

Yemen kasema tuone kama kuna Meli itapita Red Sea.
 
Anakurushia jini ukiendelea kutukana 🤣🤣
Kwanza majini hakuna ni stori tu.
ILA mimi nitapenda watu wajadili bila matusi inapendeza sana.

Mkuu Nelson,
Ukienda kutazama nyuzi za miaka ya 2008 na mpaka 2010 huwezi kukuta haya matusi hovyo hovyo kama sasahiv.
At the end of the time sisi wote ni Watanzania huenda unamtukana bwana utam au Ritz au Faiza kumbe ni jirani yako na siku ukiumwa wanakubeba.
 
Chunga kauli Houthi sio maskini kama udhaniavyo.
Yemeni toka vita ziishe wamekua wanafanya economic progression.
Pia Uturuki sio sawa na hayo mataifa usemayo muulize Russia kilimkuta nini alipoisaidia Armenia kuishikilia Nagorno karabakh ikiwa Azerbaijan ni mshirika wa uturuki.
Russia walipoteza zaidi ya askari 600.
Turkiye achana nao.
 
Naona umeamuwa kutuwekea picha ya mama yako na shangazi yako ili uwasaidie kutangaza biashara.
Hapana mkuu, the first half is for Allah and the other half is for Abdullah!
 
kama marekani sio muoga angekuwa anaenda mwenyewe vitani, mbona kila analofanya anawashirikisha wenzake !?
Anakwambia eti nisuala la kimataifa😀🤣😀

Wakati huo huo Russia kupewa drones mbili tatu na iran wanasema super power wa mchongo

Kumuelewa T14 Armata unatakiwa ujitoe kabisa akili
 
Tegemeeni wider escalation hapo.
Iran ilishapeleka meli vita mbili ghuba ya Baab al mandib.
Tegemeeni majibu makali kama alofanya Hizbollah Mullat na Gelilee Israel.
Msidhani hayo makombora mawili ndio mumewaweza.
 
Americant hana akili na shost yake Uingereza

Tunawakumbusha tu kwamba houthi wamesema hakuna meli itakayopita kuelekea ama kutoka israhell

Sasa kama vita imeisha ama wameshamaliza kuishambulia tunaomba meli ziendelee kwenda na kutoka israhell hem tuone 😀
 
Baab al mandib inapitisha 12% ya mizigo ya meli kidunia.
hiyo ni asilimia ndogo sana kuathiri uchumi wa dunia.
Inayoathirika ni Israel na Western nations labda pamoja na Misri.
Hivi unajua kwa kasi inayoenda nayo Yemen baada ya miaka miwili itaizidi Tanzania kiuchumi?
 
Tegemeeni wider escalation hapo.
Iran ilishapeleka meli vita mbili ghuba ya Baab al mandib.
Tegemeeni majibu makali kama alofanya Hizbollah Mullat na Gelilee Israel.
Msidhani hayo makombora mawili ndio mumewaweza.
Waswahili ndio mambo yenu, ni tambo tu hamna lolote. Mnaongea utafikiri nyie ndio mnapigana kwenye vita kumbe nyie vita vyenu ni kwenye keyboard ⌨️🎹😂😂😂
 
Ndoto ya mchana, hakuna nchi hapo ya kuleta vita vya tatu vya dunia. Vita vya tatu viletwe na magaidi...???? That will never happen.
Magaidi halisi ni USA wanaotumia geopolitical means kufanya resource looting/exploitation katika mataifa yanayoinuka ado ado kiuchumi.
Huwezi kuita watu wanaotetea asili yao na ardhi zao magaidi na ukaacha waharibifu wa dunia wanaolinda maslahi yao kwa damu za wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…