Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Anakurushia jini ukiendelea kutukana 🤣🤣acha mikwara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakurushia jini ukiendelea kutukana 🤣🤣acha mikwara
rafiki yangu Captain Fire nilishamuelekeza na ana jadili kwa staha.acha mikwara
Nenda kapige weweUS si akapige nuclear moja tu pale iran
Nenda kapige weweUS si akapige nuclear moja tu pale iran
Kwani wakifa na nuclear hawatapa mabikra?WE unadhani nuclear unqpiga tu kama akili yako inavyo kutumq
Kwani hawatapa bikra?Nenda kapige wewe
Ila watu hua wana moyo sana kwakwelirafiki yangu Captain Fire nilishamuelekeza na ana jadili kwa staha.
Defense ya mwisho ya mtu kushindwa unapo mprovoke hisia zake huwa ni kutukana na ndicho ulichofanya wewe.
Umeshindwa vbaya kuendeleza kujadiliana, Mimi sikutishi ila nakuambia ukweli.
Embu endelea kutukana tuone.
Nakaziarafiki yangu Captain Fire nilishamuelekeza na ana jadili kwa staha.
Defense ya mwisho ya mtu kushindwa unapo mprovoke hisia zake huwa ni kutukana na ndicho ulichofanya wewe.
Umeshindwa vbaya kuendeleza kujadiliana, Mimi sikutishi ila nakuambia ukweli.
Embu endelea kutukana tuone.
Amka kumekuchaAnayefuatia ni Iran sasa.
Kwanza majini hakuna ni stori tu.Anakurushia jini ukiendelea kutukana 🤣🤣
Chunga kauli Houthi sio maskini kama udhaniavyo.Hulali bi mdashi. Sasa mnajitafutizia mtemi mwingine wa Maneno yaani Uturuki baada ya mtemi na mbabe wenu Hauth toka Yemen kuanza kubinywa korodani. Jamaa ambao hata mlo mmoja kwao ni ngumu analeta kiburi na kujifanya mjuaji. Kwisha habari yao sasa na wao wanaishi kama panya kama wanavyofanya wenzao HAMAS.
Hapana mkuu, the first half is for Allah and the other half is for Abdullah!Naona umeamuwa kutuwekea picha ya mama yako na shangazi yako ili uwasaidie kutangaza biashara.
Anakwambia eti nisuala la kimataifa😀🤣😀kama marekani sio muoga angekuwa anaenda mwenyewe vitani, mbona kila analofanya anawashirikisha wenzake !?
Tegemeeni wider escalation hapo.Rais BIden wa Marekani amethibitisha kuwa Majeshi ya Marekani na Uingereza yamefanya mashambulizi dhidi ya kikundi cha Houthi nchini Yemen
Rais Biden amesema mashambulizi hayo ni kulipa kisasi dhidi ya mashambulizi ya kikundi hicho cha Houthi ndani ya Red Sea
≈==============
UK Prime Minister Rishi Sunak said Houthi attacks could not be allowed to stand and Britain had taken "limited, necessary and proportionate action in self-defence."
British and US forces have launched an attack on Houthi targets in Yemen after the Iranian-backed group defied a warning to stop targeting ships in the Red Sea.
Yemeni press agency, SABA reported attacks took place in the capital, Sana'a, and the governorates of Sa'dah, Hodeidah, Taiz, and Dhamar.
Three explosions were heard in the country's capital of Sana'a, according to eyewitnesses.
US officials said the strikes had been carried out by warship-launched Tomahawk missiles, as well as fighter jets and a submarine.
In a statement issued shortly after the attacks, US President Joe Biden said: "These targeted strikes are a clear message that the United States and our partners will not tolerate attacks on our personnel or allow hostile actors to imperil freedom of navigation in one of the world's most critical commercial routes."
Chanzo: Sky News
Ndoto ya mchana, hakuna nchi hapo ya kuleta vita vya tatu vya dunia. Vita vya tatu viletwe na magaidi...???? That will never happen.third world war itatokea kabla ya mwaka 2030
Americant hana akili na shost yake UingerezaMarekani na mke wake wao ndiyo wameshambulia Yemen leo wanatangaza vita vimeisha😂😂
Wanalazimisha kuwa nchi nyingi zimeshiriki shambulio la jana Yemen kahoji hizo nchi kama zimeshiriki vita zimekataa.
Yemen kasema tuone kama kuna Meli itapita Red Sea.
Baab al mandib inapitisha 12% ya mizigo ya meli kidunia.Shida unachanganya mambo. Hakuna taifa linaloishambulia Yemen kwani ni kanchi kamaskini ka kiarabu ila kufunga kwao shughuli za Baharini ndio kilichosababisha haya.
Juzi nilimsikia Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania(PTA) akielezea madhara yanayosababishwa na hao Hauth kwenye uchumi wa Tanzania kwa kuzuia na kushambulia meli zinazopita ukanda huo. Hii ni sawa, waache kushambulia meli za mizigo na kufanya uharamia wa Baharini kwani madhara yake ni makubwa kwenye uchumi wa Duniani.
Waswahili ndio mambo yenu, ni tambo tu hamna lolote. Mnaongea utafikiri nyie ndio mnapigana kwenye vita kumbe nyie vita vyenu ni kwenye keyboard ⌨️🎹😂😂😂Tegemeeni wider escalation hapo.
Iran ilishapeleka meli vita mbili ghuba ya Baab al mandib.
Tegemeeni majibu makali kama alofanya Hizbollah Mullat na Gelilee Israel.
Msidhani hayo makombora mawili ndio mumewaweza.
Magaidi halisi ni USA wanaotumia geopolitical means kufanya resource looting/exploitation katika mataifa yanayoinuka ado ado kiuchumi.Ndoto ya mchana, hakuna nchi hapo ya kuleta vita vya tatu vya dunia. Vita vya tatu viletwe na magaidi...???? That will never happen.