Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kabisa nijambo la kungojea ila mimi naamini hakuna jipyaSaud Arabia, UAE,Sudan walifanya mashambulizi na kupeleka majeshi huko Yemen ila hawakuwashinda Wahouthi.
Kwamba haya mashambulizi yatazuia harakati za Wahouthi ni jambo la kusubiri.
Mr uharo no 2Una lamba tu... Uongo sheikh wangu?
Hakuna meli itakayopita kuelekea ama kutoka israhell mpaka ghaza iwe huru wazayuni wa jf waache wakaze mabichwa yao makubwa kama hili languBREAKING:
[emoji298] [emoji1267] Shambulio la Houthi tena
Uingereza inaripoti tukio katika Bahari ya Aden, takriban 90nm Kusini mwa Pwani ya Yemeni.
Haya yanajiri saa chache baada ya Uingereza na Marekani kulenga Yemen.
Waasi wa Houthi wanaendelea na operesheni yao ya kusimamisha meli zote zinazoelekea Israel kutokana na mauaji ya kimbari huko Gaza.
t.me/megatron_ron
Safi kabisaaaaWahouthi qamesema walikuwa hawazipigi meli kuzizamisha walikuwa wanazitia kashikashi zisiende Israel lakini sasa wamelazimishwa kuzizamisha.
Wanasema USA na UK na vibaraka wao wote, wa karibu na mbali wakae nkao wa wa kwenda kuokowa mabaharia wao Red Sea na Indian Ocean.
Jidanganyeni tu na alkasusu mnazokunywa masjid mbwehaHawana akili tena wazayuni ndio waongo kupindukia
Walitudanganya wameigawa ghaza kaskazini na kusini ila mpaka leo huo ushahidi haupo
Na walisema wameondoa hamas kule kaskazini matokeo yake wanakufa kule kule yaani
Mwisho tuone kama meli zitaendelea kwenda israhell na kutoka kisa vishambulio vyao
Lengo la houthi lipo wazi kabisa Tunawakumbusha tu labda wamesahau ni kwamba hakuna meli kwenda wala kutoka israhell mpaka huduma za msingi na mzingiro dhidi ya ghaza uondoke
Nyie mnataka kua mavumbi wehu nyieSafi kabisaaaa
Kila atakae kaidi azamishwe tu maana hakuna namna yaani
Ila wanajifanya wajanja wanawatumia mabaharia wa kichina ili wasipigwe
Ila tunawaambia wakielekea ama kutoka israhell watazamishwa tu yaani hakuna namna
Labda wapite angani
Waziri wa Ulinzi wa Yemen mjini SanaaJidanganyeni tu na alkasusu mnazokunywa masjid mbweha
Safi sana.Usitumie nguvu nyingi kushinda njoo na ushahidi wa maneno siyo porojo Oman naye katoa tamko.
🚨🇴🇲 OMAN BANS WESTERN MILITARY FLIGHTS
Following last night's 100+ missile strike on Yemen, Oman has declared a no-fly zone for all Western military aircraft en route to Yemen.
Houthi source: "Oman has been helping Yemenis since the beginning of the aggression."
Source: Reuters, Al Jazeera
OMAN YAPIGA MARUFUKU NDEGE ZA JESHI LA MAGHARIBI
Kufuatia shambulizi la jana usiku la makombora 100+ dhidi ya Yemen, Oman imetangaza eneo lisiloweza kuruka kwa ndege zote za kijeshi za Magharibi zinazoelekea Yemen.
Turkiye huwezi kumpiga mkwara kaka.
Walishampiga mkwara Syria na wakashindwa.
Hujiulizi kwanini Erdogan alipoamua kufunga balozi ya Israel,Telaviv ilituma Mossad wakazungumze nae???
Turkiye ni taifa lililojipambanua katika kila nyanja.
Mr uharo no 2
Una lamba tu... Uongo sheikh wangu?Mr uharo no 2
Huna hoja kijana😂Jidanganyeni tu na alkasusu mnazokunywa masjid mbweha
Aah wapi.Hawa West wali jaribu kutaka kumpindua kipindi kile
Hakuna shida yeyote hapo..Uzuri mmeandika wenyewe
Muhammad (ﷺ) said, "By Him in Whose Hands my soul is, surely (Jesus,) the son of Mary will soon descend amongst you and will judge mankind justly (as a Just Ruler);.....Sahih al-Bukhari 3448
akie shoot nae sio mtaalam, unatakiwa uachie mzigo utembee kwanza chini ya maji kama mita 200M kufumba na kifumbua moto huo hapoMashambulizi kutoka ktk submarines, aircraft carriers na fighter jets ya majeshi ya US na UK yaelekezwa usiku huu mnene kwa vikaragosi vya Iran yaani mgambo wa Houthis Yemen.
View attachment 2869202
View: https://m.youtube.com/watch?v=VIq4NVoAChw
Hii haina ubishiUingereza alimtawala marekani, so automatically marekani ni ya muingereza