Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Saud Arabia, UAE,Sudan walifanya mashambulizi na kupeleka majeshi huko Yemen ila hawakuwashinda Wahouthi.

Kwamba haya mashambulizi yatazuia harakati za Wahouthi ni jambo la kusubiri.
Kabisa nijambo la kungojea ila mimi naamini hakuna jipya
 
BREAKING:

⚡ 🇾🇪 Shambulio la Houthi tena

Uingereza inaripoti tukio katika Bahari ya Aden, takriban 90nm Kusini mwa Pwani ya Yemeni.

Haya yanajiri saa chache baada ya Uingereza na Marekani kulenga Yemen.

Waasi wa Houthi wanaendelea na operesheni yao ya kusimamisha meli zote zinazoelekea Israel kutokana na mauaji ya kimbari huko Gaza.

t.me/megatron_ron
 
Wahouthi qamesema walikuwa hawazipigi meli kuzizamisha walikuwa wanazitia kashikashi zisiende Israel lakini sasa wamelazimishwa kuzizamisha.

Wanasema USA na UK na vibaraka wao wote, wa karibu na mbali wakae nkao wa wa kwenda kuokowa mabaharia wao Red Sea na Indian Ocean.
 
BREAKING:

[emoji298] [emoji1267] Shambulio la Houthi tena

Uingereza inaripoti tukio katika Bahari ya Aden, takriban 90nm Kusini mwa Pwani ya Yemeni.

Haya yanajiri saa chache baada ya Uingereza na Marekani kulenga Yemen.

Waasi wa Houthi wanaendelea na operesheni yao ya kusimamisha meli zote zinazoelekea Israel kutokana na mauaji ya kimbari huko Gaza.

t.me/megatron_ron
Hakuna meli itakayopita kuelekea ama kutoka israhell mpaka ghaza iwe huru wazayuni wa jf waache wakaze mabichwa yao makubwa kama hili langu
 
Wahouthi qamesema walikuwa hawazipigi meli kuzizamisha walikuwa wanazitia kashikashi zisiende Israel lakini sasa wamelazimishwa kuzizamisha.

Wanasema USA na UK na vibaraka wao wote, wa karibu na mbali wakae nkao wa wa kwenda kuokowa mabaharia wao Red Sea na Indian Ocean.
Safi kabisaaaa
Kila atakae kaidi azamishwe tu maana hakuna namna yaani

Ila wanajifanya wajanja wanawatumia mabaharia wa kichina ili wasipigwe

Ila tunawaambia wakielekea ama kutoka israhell watazamishwa tu yaani hakuna namna

Labda wapite angani
 
Hawana akili tena wazayuni ndio waongo kupindukia

Walitudanganya wameigawa ghaza kaskazini na kusini ila mpaka leo huo ushahidi haupo

Na walisema wameondoa hamas kule kaskazini matokeo yake wanakufa kule kule yaani

Mwisho tuone kama meli zitaendelea kwenda israhell na kutoka kisa vishambulio vyao

Lengo la houthi lipo wazi kabisa Tunawakumbusha tu labda wamesahau ni kwamba hakuna meli kwenda wala kutoka israhell mpaka huduma za msingi na mzingiro dhidi ya ghaza uondoke
Jidanganyeni tu na alkasusu mnazokunywa masjid mbweha
 
Safi kabisaaaa
Kila atakae kaidi azamishwe tu maana hakuna namna yaani

Ila wanajifanya wajanja wanawatumia mabaharia wa kichina ili wasipigwe

Ila tunawaambia wakielekea ama kutoka israhell watazamishwa tu yaani hakuna namna

Labda wapite angani
Nyie mnataka kua mavumbi wehu nyie
 
Marekani shoga yake Uk si wameishashambulia Yemen masikini basi Meli zianze kupita.
 
Jidanganyeni tu na alkasusu mnazokunywa masjid mbweha
Waziri wa Ulinzi wa Yemen mjini Sanaa

Tunawaambia wale walio katika bahari zetu, visiwa, na jiografia yote ya Yemeni, kwamba zama za mamlaka ya kigeni, hegemony na subordination zimezikwa na zimepita milele.
 
Usitumie nguvu nyingi kushinda njoo na ushahidi wa maneno siyo porojo Oman naye katoa tamko.

🚨🇴🇲 OMAN BANS WESTERN MILITARY FLIGHTS

Following last night's 100+ missile strike on Yemen, Oman has declared a no-fly zone for all Western military aircraft en route to Yemen.

Houthi source: "Oman has been helping Yemenis since the beginning of the aggression."

Source: Reuters, Al Jazeera

OMAN YAPIGA MARUFUKU NDEGE ZA JESHI LA MAGHARIBI

Kufuatia shambulizi la jana usiku la makombora 100+ dhidi ya Yemen, Oman imetangaza eneo lisiloweza kuruka kwa ndege zote za kijeshi za Magharibi zinazoelekea Yemen.
Safi sana.
 
Hawa West wali jaribu kutaka kumpindua kipindi kile
Turkiye huwezi kumpiga mkwara kaka.
Walishampiga mkwara Syria na wakashindwa.
Hujiulizi kwanini Erdogan alipoamua kufunga balozi ya Israel,Telaviv ilituma Mossad wakazungumze nae???
Turkiye ni taifa lililojipambanua katika kila nyanja.
 
Uzuri mmeandika wenyewe

Muhammad (ﷺ) said, "By Him in Whose Hands my soul is, surely (Jesus,) the son of Mary will soon descend amongst you and will judge mankind justly (as a Just Ruler);.....Sahih al-Bukhari 3448
Hakuna shida yeyote hapo..
 
Back
Top Bottom