Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Kwa hiyo bibi yetu FaizaFoxy anaugulia maumivu?
 
Hivi wewe mumeo unampikia saa ngapi?

Kutwa upo MTANDAONI huoni aibu?

Vitu unavyotetea ni ugaidi na magaidi.

Unaroho mbaya sana shetani anasingiziwa
 

1. Bila shaka hiki ndicho walichotaka Houthi na washirika wake.

2. Vita Red Sea si kwa maslahi ya yeyote.

3. Ni wajinga waliopitiliza peke yao watashangilia vita hapo.

4. Ngoja tuone bei ya za diesel na petrol zitakavyo kuwa soon.

5. Hapo #4 ngoja tusubiri nyani wanaposhangilia miti inapoteketea.
 
huna unacho kijua we gaidi wa msufini endelea kula kichapo apo muanze kulia lia na hashtag za #prayforYemen
We kila muislam ni gaidi ndio kanisani mnafunzwa hivyo 😄

America anajidai kukimbia Yemen na Yemen anamuambia mchezo kauwanzisha hapo Muddle East atapasahau tena.

Tulizaneni muone mwisho wa America, uingereza na Israel ndio umewadia.

Yemen huwa hashindwi vita hio history mtaikumbuka.
 
Mlikuwa mkiwasifia sana hao houthi sasa hatutaki kusikia malalamiko sijui wanakufa watoto,wazee au mama.
 
Umejiandaaje Dada yangu dhidi ya siku ya hukumu ambayo Issa bin Maryam atahukumu ulimwengu? Chaguo lako ni sasa. Amua sasa kumuamini yeye. 😀😃😄😁😆
Eti ISSA bin Maryam atahukumu !! Ninyi ndio mbumbumbu ambao hamuutaki ukweli,ISSA hawezi kuwa Mungu ,ISSA ni nabii huo uungu mnaompa mmeutoa wapi enyi wafarasiyo!
 

1. Wamarekani ndiyo wenye mzozo wao huko:

Gaza ni Marekani dhidi ya Palestina si Israel na HAMAS

2. Kila maofisa wao wakienda huko vita hurindima zaidi:

Beberu anamtaka sana Iran ajiingize Gaza
 
Wameisha zamisha meli ya kimarekani.
Yemen kaishasema wazi yeye anapigana kupinga mauaji ya kimbari Gaza anachofanya sasa hivi muendelezo wa kuzamisha meli na kurusha makomboro Marekani yeye wao waendelee kushambulia kutoka kwenye meli zao nchi yeyote itakayotoa ardhi yake kushambulia Yemen itakuwa halal ya Yemen.
 
Hahhahaha unajifariji JF Re sea imechafuka hamna kampuni itapeleka meli zake wewe upo Chanika na Tecno yako unajiandikia fikra zako😂

Maersk announced Friday that it will suspend all shipping through the Red Sea for the “foreseeable future” because of the threat of attacks on vessels using the vital maritime trading route.

The move comes after the Danish company paused transits through the area “until further notice” following an attack by Houthi militants on the Maersk Hangzhou container ship.
 
Yaani nyie hangaikeni weee ila hakuna meli itakayopita kwenda israhell yaani hakuna

Houthi washasema na wanatekeleza wanachotaka kukifanya uingereza Americant ni kutaka kuilinda israhell ila washachelewa

Hakuna meli itapita kwenda israhell huu ndio msimamo wa wapenda amani wote tukishirikiana na wahouthi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…