Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Generali wa Hauth anasema wameshazamisha meli ya kwanza na wote waliomo. Ni kazi ya US kutangaza au kupotezea.
Lile meli kubwa la kubena ndge lilizama hata mimi nitaumia sana. Naunga mkono kulisogeza mbali na range ya makombora ya hao wajomba
Mosi,hiyo meli walimtaarifu mapema kuizamisha,pili nuclear alizonazo Israel wameshamtaarifu watazitupiamo bomu humo humo ndani ya Israel limkaange mwenyewe.

Hapa tunaona ni jinsia Gani kuwa siraha kuubwa ambazo zinakugharimu mwenyewe.
 
Acheni upuuzi wa kuugeuza mzozo huu na mambo yenu ya kijinga kabisa watu weusi ya kidini.
Unamtofautishaje gaidi na wimbo wa Allahu akbar? Rejea boko haram,Hamas, alqaida, alshabab,Isis na Islamic jihad...haya makundi ya kigaidi na yote yakiwa yanashambulia kwa risasi au kuchinja mtu kichwa au kwa RPG huwa yanatamka Allahu akbar.
 
Attachments

  • 5520872-194fc953bea427ccfef7832aef21a538.mp4
    7.4 MB
Mosi,hiyo meli walimtaarifu mapema kuizamisha,pili nuclear alizonazo Israel wameshamtaarifu watazitupiamo bomu humo humo ndani ya Israel limkaange mwenyewe.

Hapa tunaona ni jinsia Gani kuwa siraha kuubwa ambazo zinakugharimu mwenyewe.
Saudi arabia iliishambulia Yemen kwa silaha za Marekani mabomu mfululizo zaidi ya miaka 5 lakni badala yake houth wako vizuri zaidi. Inaonekana wana Underground bunkers wanakimbiliaga huko wakati wa mashambulizi.

Ndio maana wanasema, kilichofanyika jana na US na UK sio kipya kwao kwanza wamepiga sehemu zilezile amnazo tayari huwa zinapigwa sikubzote.

Jamaa inaonekana ni wabishi sna.
 
kwa nchi kama Yemen milio ya risasi na mabomu kwao ni kama amapiano au mziki wa singeli uswahilini.
 
Hawajui tu watu...tunashangilia meli sijui za marekani..kuna bidhaa zikianza kupotea utasikia lawama kwa mama.
 
Generali wa Hauth anasema wameshazamisha meli ya kwanza na wote waliomo. Ni kazi ya US kutangaza au kupotezea.
Lile meli kubwa la kubena ndge lilizama hata mimi nitaumia sana. Naunga mkono kulisogeza mbali na range ya makombora ya hao wajomba
Hata ww unaweza andika huko Twitter kwamba jw wamezamisha manowali ya Marekani., mwanzoni SI walikuwa wanarekodi na kututumia video kabisa sasa nn kimewafanya wasirekodi tena hilo tukio la kuizamisha hiyo meli?
 
Ngoja tusubiri matokeo.
Maana hawa jamaa walisema wanayimakombora ya kuzamisha lile jimeli kubwa la matrillioni ya shiringi aircraft carrier mpya ya Us iliyoko mitaa hiyo.
Wafe? Marekani mwenyewe ilimchukua siku zaidi ya 4 kuzamisha moja ya meli zake mwenyewe aliyoamua kuiteketeza.
 
Naona bi mkubwa umetoa ile ndio ila kwa mbinde haha, sema nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…