Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Yakishakuwa mawili ni kimataifa, au unataka useme ni kitaifa, au ili iwe mataifa inabidi yaanzie mangapi kwa idadi?
Jambo likishakuwa la Kenya na Burundi tiyari ni la kimataifa.
Duuuh [emoji848]

Kwamba iran na oman wakikubaliana hormuz straight isitumike watakua wako sawa sababu ni kimataifa?
 
Yakishakuwa mawili ni kimataifa, au unataka useme ni kitaifa, au ili iwe mataifa inabidi yaanzie mangapi kwa idadi?
Jambo likishakuwa la Kenya na Burundi tiyari ni la kimataifa.
@ITR pitia juu huko nilimuuliza swali langu halaf jibu ndio hili [emoji1787][emoji3][emoji1787]
 
Marekani ameshambulia alafu unamuita muoga, akili gani hizi. Muoga gani anakushambulia.

Houthi mara zote wanashambulia meli za Marekani wanaambulia patupu, wametumiwa guided missiles, jets zikadondosha mabomu hawana ulinzi wa anga. Marekani akae mkao gani wa kula kwa hao walalahoi si anawachakaza tu.
 
Uk ina athirika kivipi wakati wahuthi wanashambulia meli zenye uhusiano na Israel tu?
Ww sema wameenda kuilinda meli za Israel baada ya wao kushindwa kuzilinda.
Ata kiongozi wa Houthi amesema meli wanazozuia zinazotoka na kwenda israel zingine zinapita bila shida na ni ukweli ulio wazi izo meli ndio zinazopeleka mizinga na silaha zinazoenda kuua kaka na dada zao wa palestina wanahaki ya kuzuia, houthi hawajqkurupuka tu kufanya wanachofanya. Na anachofanya US &UK kuulinda kwa nguvu zote huo ushoroba wa kupitisha maangamizi kwa wapalestina.
 
4. Ngoja tuone bei ya za diesel na petrol zitakavyo kuwa soon.
Kwa hiyo magaidi wa Houthi wakiachwa waendelee kuzuia meli za mizigo kupita ndiyo bei za dizeli na petroli zitashuka?
 
Houthi wawe na ulinzi wa anga ni jeshi la nchi gani kwani [emoji848][emoji848][emoji848]
 
 

Attachments

  • 20240112_113557.jpg
    659.2 KB · Views: 2
Duuuh [emoji848]

Kwamba iran na oman wakikubaliana hormuz straight isitumike watakua wako sawa sababu ni kimataifa?
Litakuwa ni jambo la kimataifa au wewe kimataifa unataka yaanzie mataifa mangapi?
Oman na Iran si ni mataifa mawili tofauti. Au wewe wingi wa neno taifa inabidi uwe na idadi ya nchi ngapi ndio uite mataifa?

Kuhusu kuwa sawa au kutokuwa sawa hilo ni suala lingine. Wapi uliambiwa jambo likiwa la kimataifa ni lazima liwe sawa? Waislamu walipoungana kutengeneza Islamic State lilikuwa suala la kimataifa na halikuwa sahihi.
 
Mabeberu Wamejipanga Wenzetu Wako Mbali Na Wana Wajuzi
Yaani Chombo Kinapiga Huku Kinalindwa
 
Waislam wapi waliungana kuanzisha Islamic state na waliungania wapi wakati wanaanzisha hio Islamic state

Sasa kama kuungana kwa mataifa mawili ndio suala la kimataifa hata ukraine pale anapopigwa ni suala la kimataifa mbona UN wanalia lia?
 
Houthi wawe na ulinzi wa anga ni jeshi la nchi gani kwani [emoji848][emoji848][emoji848]
Sasa kujitapa na makelele yote ya nini. Kama sio jeshi la nchi kiherehere cha nini kuleta kisebengo kwenye biashara za kimataifa. Kwahiyo ulitaka wasipigwe kisa sio jeshi la taifa na halina AD systems 😂.

Ni sawa na Hamas walivyoua Waisraeli mkashangilia. Israel ilivyojibu mkalalamika kwanini inashambulia Gaza watoto na wanawake watakufa, kwani Hamas haikujua Gaza kuna watoto na wanawake wakati inachimba mahandaki na kujificha kwenye majengo ya raia.
 
Uzuri mmeandika wenyewe

Muhammad (ﷺ) said, "By Him in Whose Hands my soul is, surely (Jesus,) the son of Mary will soon descend amongst you and will judge mankind justly (as a Just Ruler);.....Sahih al-Bukhari 3448
Hahaha..
Hao mbumbumbu wa mudi huwa wanajitoa ufahamu sana. Hawapendi ukweli. Aje abishane na andiko la mudi sasa
 
Tupo yemen kwanza ningehamisha mimi mada ungeanza kulia lia ooh unakimbilia huko

Kuna sehem nimesema kwamba houthi wasipigwe kama papo nioneshe tafadhali

Sijashangaa houthi kupigwa wala sijasema wasipigwe ila nakushangaa wewe unaeshangaa kua houthi hawa AD kanakwamba kuna kundi lenye AD uliwahi kuliona hapa duniani

Houthi wapigwe maadam marekani ndio wameamua

Ila nakuhakikishia hakuna meli itapita kwenda ama kutoka israhell kama walivyo tangaza houthi
 
Sheria hizohizo zinaruhusu meli zinazobeba bidhaa kuelekea nchi zilizovamia wengine kuzuiliwa kufikishwa zinapokwenda.
 
Wewe naona umeandika vizuri sana.

Wayemeni washasema, Marekani, Uingereza na washirika wake sasa wameyakanyaga. Wasubiri majibu tu.
Faiza wewe ni mwanamke mzuri ila shida ni kwenye kuongea point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…