Maeneo yaliyopigwa nchini Yemen kuanzia 12 January 2024
View attachment 2869212
Bandari ya Hodeidah pwani ya Red Sea (bahari nyekundu) Yemen, na mji mkuu Sanaa makombora yatua.
View attachment 2869217
N.B
17 December 2023
Maoni ya wanaJF kutoka maktaba:
Hao mgambo na serikali ya Yemen hawana ubavu wa kuzuia meli, ugaidi wao utakomeshwa ndani ya muda mfupi.
Sheria za bahari za kimataifa zinaifanya Yemen na wahuni mambo wa Houthi kujiweka ktk nafasi ya kupata vipigo toka mataifa yenye uwezo wa kuhakikisha sheria za bahari kimataifa zinaheshimiwa.
Muda siyo mfupi US, Denmark n.k vikosi vyao vya majini vitaanza kuwashughulikia kama HAMAS inavyopigwa muda huu.
Tufts University
https://sites.tufts.edu › chapter-six
Chapter 6: Maritime Security, Convention on the Law of the Sea
Maritime security supports an international order that is maintained through rule of law, and relies upon clear regulation of, and adherence to, the ...