Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,377
- 1,861
Na wewe unaamini hayo Maneno?Wewe naona umeandika vizuri sana.
Wayemeni washasema, Marekani, Uingereza na washirika wake sasa wameyakanyaga. Wasubiri majibu tu.
kijana acha porojo 60 targets zime lipuliwa uko iran katia mkia mndukuni nyie wana matumbi wa msufini mnabak kupiga porojoGenerali wa Hauth anasema wameshazamisha meli ya kwanza na wote waliomo. Ni kazi ya US kutangaza au kupotezea.
Lile meli kubwa la kubena ndge lilizama hata mimi nitaumia sana. Naunga mkono kulisogeza mbali na range ya makombora ya hao wajomba
Kwa hiyo magaidi wa Houthi wakiachwa waendelee kuzuia meli za mizigo kupita ndiyo bei za dizeli na petroli zitashuka?
Unaongelea nani?waache ujinga waje wamalizie reli yetu kwanza watapigwa nicheke...
Eti ISSA bin Maryam atahukumu !! Ninyi ndio mbumbumbu ambao hamuutaki ukweli,ISSA hawezi kuwa Mungu ,ISSA ni nabii huo uungu mnaompa mmeutoa wapi enyi wafarasiUmejiandaaje Dada yangu dhidi ya siku ya hukumu ambayo Issa bin Maryam atahukumu ulimwengu? Chaguo lako ni sasa. Amua sasa kumuamini yeye. 😀😃😄😁😆
Wapi Quran imesema ISSA atahukumuSasa mzee wapi nimesema Issa ni Mungu? Mbona umejaa povu. Quran ndio inasema Issa atahukumu ulimwengu, ja atauhukumu ulimwengu kama nani? Sasa kosa langu ni lipi hapo?
kijana acha porojo 60 targets zime lipuliwa uko iran katia mkia mndukuni nyie wana matumbi wa msufini mnabak kupiga porojo
View: https://twitter.com/sentdefender/status/1745654498322718825?t=rlXEqLi9nJB9rDAYRcTrUw&s=19
Unaongelea nani?
.wayemeni toka lini wakajenga meli yenu?
Naona unahamisha magoli.
Vipi, mazayuni wameshamrudisha Joshua?
braza Juma soma uelewe sio una kuja kinyume nyume mm sio bashaMkuu umesema Iran au ni wingi wa mahaba mshindo?
Hawana jipya hao watajigwa nuclearWaturuki nao wamesogeza meli zao kivita karibu ya Ghaza:
View: https://youtu.be/szv0oh0XeH0?si=_xxYW_WlRcAFThrE
Hahaha, vita za kizamani hizo.Hawana jipya hao watajigwa nuclear
braza Juma soma uelewe sio una kuja kinyume nyume mm sio basha
Sawa SHOGA mkongweMimi ni braza Joseph, zingatia kuweka "coma." Bila "coma" hii ni tungo tata nyuma yake mahaba mshindo.
"kijana acha porojo 60 targets zime lipuliwa uko iran katia mkia mndukuni nyie wana matumbi wa msufini mnabak kupiga porojo"
Utambumulisho wa ubasha peleka ufaranda mliko na waziri mkuu nguli mpelekewa moto!
Sawa SHOGA mkongwe
Hahaha..Pro-Houthi, Pro-Hamas hawana akili timamu ni kama vichaa fulani natamanigi kuwaona in person
Mkuu hujawahi kunijibugi swali nilikuuliza humu jamvin 2015 baba yake Mudi mzee Abdallah naye alikuwa muislamu?Hivi Marekani hawezi kupigana vita mpaka ashirikishe Uingereza?
WE MWANAMKE UTAKUWA UNA BLEED....nimecoment kwenye uturuki kupeleka meli...umekurupuka mara wazayuni mara nini neda ka change pedUnaongelea nani?
.wayemeni toka lini wakajenga meli yenu?
Naona unahamisha magoli.
Vipi, mazayuni wameshamrudisha Joshua?
Walichokuwa wanakitaka wameanza kukipata.Uzuri Mmarekani anashusha vitufe tu kwa hao mashujaa uchwara wa kiislamLabda usichokielewa kuhusu Yemeni, hao ndiyo mashujaa pekee wa Kiarabu waliobaki duniani. Wametapakaa dunia nzima, na wakisema hawapandishi maneno.
Hutomsikia Bakhressa akisema moja halafu akafanya lingine.
Hao ni mfano bora kabisa wa Wislam wanavyotakiwa wawe.
Hao Uturuki hata mimi siwaamini, ni wanafik sana, lakini Wayemeni, nawavulia kofia.