Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Wewe naona umeandika vizuri sana.

Wayemeni washasema, Marekani, Uingereza na washirika wake sasa wameyakanyaga. Wasubiri majibu tu.
Na wewe unaamini hayo Maneno?

Binafsi nilishasema na inaendelea kusema tusishabikie hivi vita vya myahudi dhidi ya mwarabu au Mmarekani dhidi ya mwarabu sababu hapa mmoja anaonewa.
Hawa Wayahudi na wazungu wamewaacha mbali sana waarabu kwenye technology ya silaha hivyo ni uonevu tu ndio unaendelea.

Sasa wewe kumshabikia na kuamini kuwa Yemen itampiga marekani ni ukiachaa huo.
Leo hii marekani anaowezo wa kufanya shambulio moja tu akaifuta Yemeni yote
 
Generali wa Hauth anasema wameshazamisha meli ya kwanza na wote waliomo. Ni kazi ya US kutangaza au kupotezea.
Lile meli kubwa la kubena ndge lilizama hata mimi nitaumia sana. Naunga mkono kulisogeza mbali na range ya makombora ya hao wajomba
kijana acha porojo 60 targets zime lipuliwa uko iran katia mkia mndukuni nyie wana matumbi wa msufini mnabak kupiga porojo

View: https://twitter.com/sentdefender/status/1745654498322718825?t=rlXEqLi9nJB9rDAYRcTrUw&s=19
 
Kwa hiyo magaidi wa Houthi wakiachwa waendelee kuzuia meli za mizigo kupita ndiyo bei za dizeli na petroli zitashuka?

1. Nani kakwambia Houthi wanazuia meli kupita?

2. Mambo ya hovyo hovyo hayo mnadannganyana wapi?

3. Unajua kwa nini Russia, China, Aljeria au Msumbiji walilisusia azimio kuwalaumu Yemen?

IMG_20240112_121109.jpg
IMG_20240112_121200.jpg
 
Umejiandaaje Dada yangu dhidi ya siku ya hukumu ambayo Issa bin Maryam atahukumu ulimwengu? Chaguo lako ni sasa. Amua sasa kumuamini yeye. 😀😃😄😁😆
Eti ISSA bin Maryam atahukumu !! Ninyi ndio mbumbumbu ambao hamuutaki ukweli,ISSA hawezi kuwa Mungu ,ISSA ni nabii huo uungu mnaompa mmeutoa wapi enyi wafarasi
Sasa mzee wapi nimesema Issa ni Mungu? Mbona umejaa povu. Quran ndio inasema Issa atahukumu ulimwengu, ja atauhukumu ulimwengu kama nani? Sasa kosa langu ni lipi hapo?
Wapi Quran imesema ISSA atahukumu
 
braza Juma soma uelewe sio una kuja kinyume nyume mm sio basha

Mimi ni braza Joseph, zingatia kuweka "coma." Bila "coma" hii ni tungo tata nyuma yake mahaba mshindo.

"kijana acha porojo 60 targets zime lipuliwa uko iran katia mkia mndukuni nyie wana matumbi wa msufini mnabak kupiga porojo"

Utambumulisho wa ubasha peleka ufaranda mliko na waziri mkuu nguli mpelekewa moto!
 
Mimi ni braza Joseph, zingatia kuweka "coma." Bila "coma" hii ni tungo tata nyuma yake mahaba mshindo.

"kijana acha porojo 60 targets zime lipuliwa uko iran katia mkia mndukuni nyie wana matumbi wa msufini mnabak kupiga porojo"

Utambumulisho wa ubasha peleka ufaranda mliko na waziri mkuu nguli mpelekewa moto!
Sawa SHOGA mkongwe
 
Pro-Houthi, Pro-Hamas hawana akili timamu ni kama vichaa fulani natamanigi kuwaona in person
Hahaha..
Kwenye vijiwe vya kahawa jirani na misikitini ndo hupiga kambi kutwa nzima wakiambiana stori za uongo
 
Unaongelea nani?
.wayemeni toka lini wakajenga meli yenu?

Naona unahamisha magoli.

Vipi, mazayuni wameshamrudisha Joshua?
WE MWANAMKE UTAKUWA UNA BLEED....nimecoment kwenye uturuki kupeleka meli...umekurupuka mara wazayuni mara nini neda ka change ped
 
Labda usichokielewa kuhusu Yemeni, hao ndiyo mashujaa pekee wa Kiarabu waliobaki duniani. Wametapakaa dunia nzima, na wakisema hawapandishi maneno.

Hutomsikia Bakhressa akisema moja halafu akafanya lingine.

Hao ni mfano bora kabisa wa Wislam wanavyotakiwa wawe.

Hao Uturuki hata mimi siwaamini, ni wanafik sana, lakini Wayemeni, nawavulia kofia.
Walichokuwa wanakitaka wameanza kukipata.Uzuri Mmarekani anashusha vitufe tu kwa hao mashujaa uchwara wa kiislam
 
Back
Top Bottom