Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,377
- 1,861
Na wewe unaamini hayo Maneno?Wewe naona umeandika vizuri sana.
Wayemeni washasema, Marekani, Uingereza na washirika wake sasa wameyakanyaga. Wasubiri majibu tu.
Binafsi nilishasema na inaendelea kusema tusishabikie hivi vita vya myahudi dhidi ya mwarabu au Mmarekani dhidi ya mwarabu sababu hapa mmoja anaonewa.
Hawa Wayahudi na wazungu wamewaacha mbali sana waarabu kwenye technology ya silaha hivyo ni uonevu tu ndio unaendelea.
Sasa wewe kumshabikia na kuamini kuwa Yemen itampiga marekani ni ukiachaa huo.
Leo hii marekani anaowezo wa kufanya shambulio moja tu akaifuta Yemeni yote