Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Sio rahisi wenye akili kisoda kuelewaKitu geopolitics. Alliances. Mnagawana uwajibikaji. Sio unaonekana mkorofi au kiherehere peke yako.
Marekani ina uwezo mkubwa sana kiuchumi, kiteknolojia na kijeshi lakini inatafuta uhalali wa kuambatana na wengine ili kuhalalisha mashambulizi dhidi ya “adui wa wote” (common enemy).