Marekani na Urusi watakutana Saudi Arabia. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao

Hizi sizielewi mimi nazielewa za kina Azizi Ki na Mobetto
 
Marekani alihamasisha waweke vikwazo kwa Urusi, wakaharibu miundombinu ya gas saizi huyo kawakimbia
Kama hawatajifunza kwa hili basi .nadistream 2 usa ndo aliyefadhali boma kikalipuliwa ili auze gesi
 
Walibweteka wenyewe Eu si wana block yao .. na pesa yao ilikuwaje wakawa wategemezi kiais hicho kwa usa mpaka wanaendeshwa hivyo
 
Walibweteka wenyewe Eu si wana block yao .. na pesa yao ilikuwaje wakawa wategemezi kiais hicho kwa usa mpaka wanaendeshwa hivyo
Ugomvi wake Trump na EU, kwenye makubaliano yao ya NATO. Kila nchi mwanachama anatakiwa atenge 2% ya GDP yake kila mwaka kama budget ya ulinzi.

EU wengi hawafanyi hivyo constantly na wanaofanya ni mara moja moja sana. Mfano mwaka ulioisha ni UK na Italy ndio wametenga.

Hiyo ni tabia ya muda mrefu ndio inayomkera Trump wakati US inatenga over 3% to 3.5% ya GDP (anyway nyingi ni upigaji wa overpriced artilleries). But they spend.

Sasa huo muda wa kubembeleza Trump hana, aoni kwanini US ibebe mzigo mkubwa wa NATO wakati wengine hawatengi hata 1% ya GDP kwenye ulinzi.
 
Biden ndiye kaiharibu Ukraine! Kama Trump angeshinda uchaguzi wa 2020 vita vya Russia na Ukraine visingetokea kabisa!
 
Ndiyo maana zeleski hata kwenye mazungumzo hayupo... Ukiwa ombaomba hauthaminiki.... Wenye uwezo Wana Fanya decision juu yako wewe
Ndio mana uyu jamaa Watu wakamuona punguani kaichoma Ukraine kasababisa Wa Ukraine Wafe kijinga kabisa!!!! Russia utaiweza kwa silaha za kupewa kwa mkopo!!! Zuzu uyu Zelensky!!! Wapitenae
 
Ndio mana uyu jamaa Watu wakamuona punguani kaichoma Ukraine kasababisa Wa Ukraine Wafe kijinga kabisa!!!! Russia utaiweza kwa silaha za kupewa kwa mkopo!!! Zuzu uyu Zelensky!!! Wapitenae tu!!!!
Mkuu ulitaka Zelesky akae kimya nchi yake ivamiwe kisa tu hana nguvu kama mvamizi? Kwa maana nyingine ni kuwa Ukraine ndiye amekuwa wa kwanza kurusha silahaa Russia.
 
Unafurahi? Wakati gaza inakuw chini ya Us halafu baada ya rus kula kichapo kikali pale middle east maana hana ushawishi kama zamani haswa syria putin anachezew danganya toto tu
Umeamua kujifurahisha , subili wakubwa waongee watoto kaeni nje mtaitwa tukimaliza kuongea
 
Mkuu ulitaka Zelesky akae kimya nchi yake ivamiwe kisa tu hana nguvu kama mvamizi? Kwa maana nyingine ni kuwa Ukraine ndiye amekuwa wa kwanza kurusha silahaa Russia.
Hujui chanzo Cha hii vita fuatilia vizuri utaelewa
 
Haya maamuzi anayochukua US yanaweza kuwaamsha Ulaya na baadae US akapoteza ushawishi wake ndani ya Ulaya na akajutia baadae.
Kweli. Ila kwa jambo kama hili kutokea inahitajika miaka zaidi ya mi5, DT atakuwa katoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…