Marekani na Urusi watakutana Saudi Arabia. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao

Marekani na Urusi watakutana Saudi Arabia. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao

Marekani anahitaji madini ya Ukreini kwa udi na uvumba zelensiky kazingua kuyatoa,katika hizi akijichanganya anaweza kuuawa hayo madini lazima marekani atayachukua kwa namna yoyote ile!! US kukutana na Rusia huenda wanataka kuweka mikakati ya kuigawana ukreini
 
Shida yetu kubwa ni kusoma vipeperushi na kuamini ndio habari za kweli.

Tunadumaa kiakili na kupata matege yasiyoweza kunyooka sababu ya ushabiki ambao hata waarabu wenyewe hawana.

Kuzaliwa Chamanzi, na Mkuranga na kule kwetu Kisaki na Dutumi, kila uchao kuamini mambo yasiyo aminika. Mara tunapiga dua moja mti unakauka. Mara tutatuma mizimu itawanyoosha. Hakuna linalofanikiwa katika yote tunayofanya.
Tunakufa maskini wa roho, akili na miili yetu
Uharo mtupu.
 
Uon
Watu hamfanyi uchunguzi, mnaleta habari za uwongo.

Kabla ya huo mkutano na Russia huko Saudia, trump ameongea na kujadiliana na wakuu wa nchi za Ujerumani, Ufaransa, Italy na UK. Pia USA imeandaa dodoso ili kupata maoni ya nchi za Ulaya kuhusiana na mpango wa kumaliza vita huko Ukraine. Kwa upande wa Ukraine, Trump amesema wazi kuwa lazima Ukraine itashirikishwa kwenye mazungumzo.

Inaonekana humu kuna watu wanaokoto hadithi mbalimbali na kuzifanya ni habari.
Uongo huo...kwa nini Sasa Europe wanalalamika kuwa wametengwa? Kama kweli ameongea nao?
 
Team Zelensky nawaona mlivyonuna

Tuliwaambia Zelensky bila USA na EU support ni nonsense mkasema ooh Russia imeshindwa haya yako wapi leo

Russia amepigana na nchi zaidi ya 20 hapo Ukraine na wamemshindwa
Mkuu, ni nchi zaidi ya 50, zingine zajificha zisitambulike rasmi.
 
Hapo ndio ujue Putin alikuwa akipigana na NATO si Ukraine.
Kwenye kikao Zelensky pembeni.
Huwezi ingia kwenye kikao cha wakubwa.
 
Zele hakupata ushauri mzuri kutoka kwa watu wake wa karibu. Ndani na nje ya nchi. Alipoona Russia kashapeleka silaha nzito mpakani wao alipaswa kujiongeza na kuepusha hii vita. Na vilikuwa vinaepukika kama angeacha kumsikiliza Biden ambaye ninnamini kwa kiasi kikubwa ndie aliyechochea hii vita kwa kiwango kikubwa
Ni kitu gani au mambo gani hasa ambayo Zelenskyy angefanya kujiongeza ili Urusi waachane na mpango wa kuvamia Ukraine?
 
Ni kitu gani au mambo gani hasa ambayo Zelenskyy angefanya kujiongeza ili Urusi waachane na mpango wa kuvamia Ukraine?
Kuzingatia mkataba wa Minsk ambao pamoja na mambo 12 yaliyomo kwenye huo mkataba, Ukraine ilitakiwa kuondoa vikosi haramu vya kijeshi kutoka upande wake, vifaa vya kijeshi na vikosi vya wapiganaji na vya mamluki kutoka upande wa Ukraine.
 
lol

Sio kweli na maelezo ya utekelezaji wa Minsk Agreements sio marahisi hivyo. Urusi ikishaamua kuyapuuza muda mrefu tu na kujipanga kuichukua Ukraine yote.

Putin amedai mara kadhaa kuwa Ukraine ni sehemu ya Urusi tangu zamani na amewalaumu sana Bolsheviks kina Lenin kwa kuruhusu kuwepo kwa Jamhuri ya Ukraine ndani ya USSR na Kruschev kwa kuihamishia Crimea kuwa sehemu ya Ukraine mwaka 1954. Ameahidi kurejesha hali ilivyokuwa kabla.

Bahati njema kwake sasa anafaidi mahaba ya Trump ambaye ndiye kawa msemaji muhimu wa Urusi. Juzi Trump alisema kimzaha mzaha tu kuwa huenda siku moja Ukraine ikawa jimbo la Urusi.
 
Trump anawaforce wafanye hv kitu ambacho ni htr kwa dunia , urafiki wa USA na EU ndo uliwafanya ulaya kusinzia ila sasa hv watawafanya waanze umiza akili na hivyo lzm waje kuwa wasumbuf dunian
Wasumbue nani labda sisi wapumbavu unadhani Trump anakosea every step is already calculated well wote hawa wasenge wametepeta ndani kwa ndani kwaajiri inflation na kujifanya wanaipiga vikwazo urusi pamoja na gas yake hakuna malaya anaeweza kutoboa hapo jitu limepigana na hitler na napoleon ije ipigwe na hawa vimada na hilo ni funzo kuu next time
 
Ni kitu gani au mambo gani hasa ambayo Zelenskyy angefanya kujiongeza ili Urusi waachane na mpango wa kuvamia Ukraine?
 
Mkuu ulitaka Zelesky akae kimya nchi yake ivamiwe kisa tu hana nguvu kama mvamizi? Kwa maana nyingine ni kuwa Ukraine ndiye amekuwa wa kwanza kurusha silahaa Russia.
Russia ilibidi atumie nguvu pale Usalama wa Russia ulipotishiwa!!! Ukraine ilipaswa kujifunza kwa GEORGIA ambaya sasa imenyooka!!!

Uyu Zalensky alijazwa upepo na nch za WEST nae akajaa kwani Ukraine kuna mambo mengi yalikuwa yanafanyika apo Ukraine ambayo ilibidi Russia achukue atua alaka!!!

Lkn Kabla kumtoa rais mwenye kuegemea RUSSIA!!! si Ukraine ilikuwa tulivu sana wala Russia awakutaka kuimega Ukrainea!!

kwa wasio jua Russia inamadini mengi sana akuna wakuifikia tatizo Wazungu wa West wanataka kuinyemelea Russia!!!

lkn upepo wa West umeipelekea Ukraine iwe jinsi ilivo sasa kutokana na rais mwenye uwezo mdogo!!!

Afu ndio mnawasifia wayahudi kuwa akili kubwa!!! Zalensky ambaye ni Myahudi kaichoma Ukraine baada ya apo atakimbia kama jamaa wetu wa CONGO siku zake za kubaki Kinshasa zimebaki Chache!!!!
 
Hii ni porojo ya zamani ya huyu mpiga debe wa Urusi. Mazungumzo yalifanyika kati ya viongozi wa Magharibi na Putin na Zelenskyy na ikakubalika kuwa Ukraine haitajiunga na NATO. Lakini Putin alikwishaamua kuvamia kumuondoa Zelenskyy na kuweka utawala wake Ukraine.

Putin hata leo msimamo wake ni kuwa Ukraine ni sehemu ya Urusi. Haitakiwi kuwa huru. Anasahihisha makosa ya kihistoria yaliyofanywa na Lenin na Kruschev. Period. Hana interest na mapatano mengine.

Swahiba wake Trump anampa support akamilishe azma yake hiyo. Juzi Trump kailaumu Ukraine kwa kuanzisha vita hiyo. Na ameshasema ipo siku Ukraine itakuwa jimbo la Urusi. Tishio la NATO lilikuwa Marekani. Lakini walishakubali tangu enzi za Biden kuwa Ukraine haitakuwa memba. Kinachoendelea ni unafiki na uongo.

Marekani imegeuka na kuiuza Ukraine kwa Putin. Imejitenga na Ulaya na NATO na kumkumbatia Putin. Mengine yote ni porojo za watu wenye mahaba na Putin. Hakuna chochote ambacho Zelenskyy na Ukraine wangefanya kubadilisha maamuzi ya Putin.

Tuendelee kushuhudia reality inayojitokeza.
 
Russia ilibidi atumie nguvu pale Usalama wa Russia ulipotishiwa!!! Ukraine ilipaswa kujifunza kwa GEORGIA ambaya sasa imenyooka!!!

Uyu Zalensky alijazwa upepo na nch za WEST nae akajaa kwani Ukraine kuna mambo mengi yalikuwa yanafanyika apo Ukraine ambayo ilibidi Russia achukue atua alaka!!!

Lkn Kabla kumtoa rais mwenye kuegemea RUSSIA!!! si Ukraine ilikuwa tulivu sana wala Russia awakutaka kuimega Ukrainea!!

kwa wasio jua Russia inamadini mengi sana akuna wakuifikia tatizo Wazungu wa West wanataka kuinyemelea Russia!!!

lkn upepo wa West umeipelekea Ukraine iwe jinsi ilivo sasa kutokana na rais mwenye uwezo mdogo!!!

Afu ndio mnawasifia wayahudi kuwa akili kubwa!!! Zalensky ambaye ni Myahudi kaichoma Ukraine baada ya apo atakimbia kama jamaa wetu wa CONGO siku zake za kubaki Kinshasa zimebaki Chache!!!!
Ukishakuwa na inferiority ni mbaya sana...Nani sasa anasifia Wayahudi wewe au nani?
 
Sidhani kama atakubali yan wakikubali kuhama ndo mazma hawarudi
Mkuu, kwani wapalestine wakihamia Sehemu nyingine kisha wakapewa pesa nzuri kwa kila familia, kuna ubaya gani?? Tupo duniani kufurahia maisha, kuteseka iwe ni bahati mbaya sana.

Wanajengewa nyumba mpya, maji, shule, hospitals na pesa juu.
 
Wanaume wakiwa wanaongea .watoto hawawezi kuitwa maamuzi yakishatolewa watapewa taarifa basi inatosha.
 
Back
Top Bottom