Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Marekani ni nchi tajiri na yenye maguvu.
Lakini sensa yao iliyoendeshwa na Idara ya Cencus Bureu(kama sensa yetu) imeonyesha kuwa hii nchi ya watu karibia milioni 330, ina watu masikini kabisa kufikia milioni 48.
Na kwa Marekani ukiwa masikini basi heri ya Tanzania.
Masikini wa Marekani hawana nyumba wala makazi na huweka vibanda vya kuishi barabarani.
Huku kwetu ingalau Matonya ana kwao Sukamahela, Dodoma na anaweza kurudi kwenye ardhi yake.
Sensa yetu ituonyeshe hali ya umasikini vile vile ili fedha na mipango ya serikali ijulikane ambako inapaswa kuelekezwa.
48 million Americans live in poverty, Census Bureau says
A report by the Census Bureau Thursday shows that government programs do help lift people out of poverty.
money.cnn.com