Marekani nchi tajiri ,lakini sensa yao inasema kuna masikini milioni 48!

Marekani nchi tajiri ,lakini sensa yao inasema kuna masikini milioni 48!

Afu mbona kama homeless wenyewe wengi ni black
 
Usichojua ni kwamba Marekani ni Bara, sio nchi moja
 
Nimeweka picha kwa ulinganisho, sasa hapo tuambie kama kulala kwenye tenti la makaratasi Marekani kuna ubora katika umasikini.
Welfare Economics ni kitu umejifunza tu bila kuelewa maana yake halisi.
Una uhakika hao sio wakimbizi wa kutoka Mexico na Jamaica?
 
Umeandika tu au. Mmeshafika nje Jamani. Maskini analala barabarani , freezer anatoa wapi Sasa mkuu?
usilinganishe chizi/mlukwa akili na maskini akili timamu.....asa mtu analala baranarani na baridi lile huoni anatafutwa??katoroka Hosp.ya vichaa....kwanini mnapenda tuwatafunie kila kitu?

.
 
Back
Top Bottom