Mcqueenen JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 6,843 Reaction score 11,702 Aug 29, 2022 #21 Kalunya said: Jamii isiyo na watu masikini ni Wayahudi Click to expand... Qatar na UAE hakuna masikini
Kalunya said: Jamii isiyo na watu masikini ni Wayahudi Click to expand... Qatar na UAE hakuna masikini
Kalunya JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 13,322 Reaction score 18,609 Aug 29, 2022 #22 Mcqueenen said: Qatar na UAE hakuna masikini Click to expand... Hata tza tukiwa na viongozi wanaothink Hawawezi kuwepo
Mcqueenen said: Qatar na UAE hakuna masikini Click to expand... Hata tza tukiwa na viongozi wanaothink Hawawezi kuwepo
Beesmom JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 17,202 Reaction score 28,732 Aug 29, 2022 #23 Afu mbona kama homeless wenyewe wengi ni black
Mzee23 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 1,731 Reaction score 3,628 Aug 29, 2022 #24 Usichojua ni kwamba Marekani ni Bara, sio nchi moja
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Aug 29, 2022 #25 Jidu La Mabambasi said: Nimeweka picha kwa ulinganisho, sasa hapo tuambie kama kulala kwenye tenti la makaratasi Marekani kuna ubora katika umasikini. Welfare Economics ni kitu umejifunza tu bila kuelewa maana yake halisi. Click to expand... Una uhakika hao sio wakimbizi wa kutoka Mexico na Jamaica?
Jidu La Mabambasi said: Nimeweka picha kwa ulinganisho, sasa hapo tuambie kama kulala kwenye tenti la makaratasi Marekani kuna ubora katika umasikini. Welfare Economics ni kitu umejifunza tu bila kuelewa maana yake halisi. Click to expand... Una uhakika hao sio wakimbizi wa kutoka Mexico na Jamaica?
Nyaru-sare JF-Expert Member Joined Aug 2, 2019 Posts 5,261 Reaction score 3,679 Sep 15, 2022 #26 unprejudiced said: Umeandika tu au. Mmeshafika nje Jamani. Maskini analala barabarani , freezer anatoa wapi Sasa mkuu? Click to expand... usilinganishe chizi/mlukwa akili na maskini akili timamu.....asa mtu analala baranarani na baridi lile huoni anatafutwa??katoroka Hosp.ya vichaa....kwanini mnapenda tuwatafunie kila kitu? .
unprejudiced said: Umeandika tu au. Mmeshafika nje Jamani. Maskini analala barabarani , freezer anatoa wapi Sasa mkuu? Click to expand... usilinganishe chizi/mlukwa akili na maskini akili timamu.....asa mtu analala baranarani na baridi lile huoni anatafutwa??katoroka Hosp.ya vichaa....kwanini mnapenda tuwatafunie kila kitu? .