Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

Wajuzi wa Buza wanakuja kutoa intelligence report on international affairs huku wameshindwa kutatua changamoto ya njaa mtaani kwao. Smh
 
Mm hata sielewi watu wanaweeka ushabiki mpaka wa kiroho kwa sababu gani urusi ni kidudu kidogo sana musimpe headup saaana mpaka leo huko anahenya upereshen wa usaa 72 hii lin haha Russia ni super woman,China halikadhalika
Super Power ni mmoja tu USA baasi
teknolojia za nchi zoote role model wao
USA alafu unaleta kelele ni ushabiki kiazi tu watu wanao
Et namtoa kwenye list dah maumivu
America ni moja tu dunia ya teknolojia na maendeleo vilianza pale
End of shithole
 
Anza kuidharau sasa
 
Unasemaje sasa? Marekani ndio Super Power Og amaeishi kwa vitendo sio porojo na show off.
 
Mstari mwekundu umefutwa,choreni mwingine sasa
 
Siyo kweli ...china inanjia nyingi za kuipiga usa [emoji631] inaweza kutangaza marufuku ya kutumia dola nchini kwake ilo litakuwa pigo kuu kwa usa [emoji631] na anguko kamili la ufalme wa marekani duniani
Tatizo lenu mmekaa kufikiria anguko la Marekani
 
Siyo kweli ...china inanjia nyingi za kuipiga usa [emoji631] inaweza kutangaza marufuku ya kutumia dola nchini kwake ilo litakuwa pigo kuu kwa usa [emoji631] na anguko kamili la ufalme wa marekani duniani
Unahamisha goli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…