Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣Leo sijui mngejifichia wapi😄😄
#U.S.A NI SUPERPOWER CHINA NI MANDONGA 😆
Unasema????Bibi Pelosi aleta drama tu hakuna kitu hapo.
Marekani haiwezi kuruhusu ndege ilombeba Pelosi itue Taiwan.
Labda bibi Pelosi afanye uhuni kama aloufanya alipozuru China miaka 20 ilopita.
Imekuwaje sasa,aibu yetu au aibu yenu?Kwa akili yako unadhani wachina ni wajinga kiasi hicho?
Moto wa mabuaWachina watampelekea moto
Anza kuidharau sasaNi kweli Kuna muda diplomacy haina nafasi . Hii kitu kitamgharimu China . Pelosi akitua Taiwan leo nitaidharau China Sana tena Sana na nitawatoa kweli list ya mataifa matatu yaliyo huru hapa Duniani[ U.S.A , RUSSIA, CHINA ] na itakuwa [ U.S.A, RUSSIA, NORTH KOREA na IRAN ].
# Hakuna diplomacy kwenye dharau.
Unasemaje sasa? Marekani ndio Super Power Og amaeishi kwa vitendo sio porojo na show off.Bibi Pelosi hana kazi yoyote kwenye hii tour ya Asia ni kutafuta legacy tu kwamba ni mtu ambae amejitokeza kuwachokoza wachina.
Ndo maana hapo juu nikasema Marekani haiwezi kuruhusu ndege ilombeba Pelosi itue Taiwan na wala hana executive order kuamua ndege itue (kumbuka yeye ni mtu wa tatu baada ya Biden).
Isitoshe, kwenye ile" itinerary" hakuna kituo cha Taiwan.
Pelosi anafahamu huu ndo muda wake wa mwisho kwani uchaguzi ujao hatagombea ubunge tena na anatafuta legacy kwa kutaka kuonekana ameiweza China.
Sasa kama kweli ataka aone moto na acheze nao Wachina wanamsubiri.
Kwa Taiwan imekuwa kama vile ilivyo baada ya kifo chake,mbona alivyokuwa hai hakuichukua Taiwan kibabe?Chuma Mao Zedong angekuwepo hizi dharau za U.S.A zisinge tokea
View attachment 2311793
Mstari mwekundu umefutwa,choreni mwingine sasaChina nayo yazidi kukomaa, inasema patachimbika kama Pelosi kweli ataamua kutua Taiwan. Imesisitiza huo ni mstari mwekundu ambao hakuna anayeruhusiwa kuuvuka!
China issues warning over possible Pelosi visit to Taiwan
Beijing is “fully prepared to respond” if US House Speaker Nancy Pelosi travels to Taiwan, China’s UN envoy says.
“China is fully prepared to respond. If the US insists on making the visit, China will take firm and strong measures to safeguard its national sovereignty and territorial integrity, and the US has to bear all the serious consequences arising thereof,” the envoy warned.
Zhang reiterated that the One China principle is “a red line” in Beijing's relations with other nations, and no one will be allowed to cross it.
Huo ukweli ukawaje tena?Umemaliza kila kitu . Ukweli kabisa
Inatawaliwa na nani sasa kama ina jeshi,Rais wake,hela yake na mabalozi nje?Hapana Taiwan bado haina mamlaka yake binafsi.
Msihishe magoli,huyo Turkey mwenyewe Trump alimpiga biti akanywea.Maamuzi yamebaki kwao sasa Wachina. Hata Mturuki huwezi kumletea dharau za namna hii!
Akili ndio zinawarudi sioMchina haichukui Taiwan!
Akubali ameshapoteza na aibu juu.
Tatizo lenu mmekaa kufikiria anguko la MarekaniSiyo kweli ...china inanjia nyingi za kuipiga usa [emoji631] inaweza kutangaza marufuku ya kutumia dola nchini kwake ilo litakuwa pigo kuu kwa usa [emoji631] na anguko kamili la ufalme wa marekani duniani
Teh teh hilo anguko halijaanza leo,tangu miaka ya 80 s but still Marekani inazidi kunawiri.Mambo yamefika pabaya sana lakini yote kwa yote Anguko la Marekani limekalibia
Hilo dole la kati kapigwa China pamoja na nyie mashabiki wake akiwemo Bwana UtamThread ifungwe hii,China imeshapigwa middle finger.Ikae kwa kutulia.
Unahamisha goli?Siyo kweli ...china inanjia nyingi za kuipiga usa [emoji631] inaweza kutangaza marufuku ya kutumia dola nchini kwake ilo litakuwa pigo kuu kwa usa [emoji631] na anguko kamili la ufalme wa marekani duniani
Wanafiki hao,sasa ndio washaanza rangi halisi kwa wale wanaowana wana nguvu.Leo China hayupo kwenye List...?
Kwenye hiyo list utaendelea kuitoa Nchi moja mpaka nyingine....!!!
Muaka na miaka naongea hili swala hapa lakini wapuuzi wanakwambia China sijui takataka UrusiSuper Power ni mmoja tu