Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

Wajuzi wa Buza wanakuja kutoa intelligence report on international affairs huku wameshindwa kutatua changamoto ya njaa mtaani kwao. Smh
 
Mm hata sielewi watu wanaweeka ushabiki mpaka wa kiroho kwa sababu gani urusi ni kidudu kidogo sana musimpe headup saaana mpaka leo huko anahenya upereshen wa usaa 72 hii lin haha Russia ni super woman,China halikadhalika
Super Power ni mmoja tu USA baasi
teknolojia za nchi zoote role model wao
USA alafu unaleta kelele ni ushabiki kiazi tu watu wanao
Et namtoa kwenye list dah maumivu
America ni moja tu dunia ya teknolojia na maendeleo vilianza pale
End of shithole
 
Ni kweli Kuna muda diplomacy haina nafasi . Hii kitu kitamgharimu China . Pelosi akitua Taiwan leo nitaidharau China Sana tena Sana na nitawatoa kweli list ya mataifa matatu yaliyo huru hapa Duniani[ U.S.A , RUSSIA, CHINA ] na itakuwa [ U.S.A, RUSSIA, NORTH KOREA na IRAN ].

# Hakuna diplomacy kwenye dharau.
Anza kuidharau sasa
 
Bibi Pelosi hana kazi yoyote kwenye hii tour ya Asia ni kutafuta legacy tu kwamba ni mtu ambae amejitokeza kuwachokoza wachina.

Ndo maana hapo juu nikasema Marekani haiwezi kuruhusu ndege ilombeba Pelosi itue Taiwan na wala hana executive order kuamua ndege itue (kumbuka yeye ni mtu wa tatu baada ya Biden).

Isitoshe, kwenye ile" itinerary" hakuna kituo cha Taiwan.

Pelosi anafahamu huu ndo muda wake wa mwisho kwani uchaguzi ujao hatagombea ubunge tena na anatafuta legacy kwa kutaka kuonekana ameiweza China.

Sasa kama kweli ataka aone moto na acheze nao Wachina wanamsubiri.
Unasemaje sasa? Marekani ndio Super Power Og amaeishi kwa vitendo sio porojo na show off.
 
China nayo yazidi kukomaa, inasema patachimbika kama Pelosi kweli ataamua kutua Taiwan. Imesisitiza huo ni mstari mwekundu ambao hakuna anayeruhusiwa kuuvuka!

China issues warning over possible Pelosi visit to Taiwan​

Beijing is “fully prepared to respond” if US House Speaker Nancy Pelosi travels to Taiwan, China’s UN envoy says.
“China is fully prepared to respond. If the US insists on making the visit, China will take firm and strong measures to safeguard its national sovereignty and territorial integrity, and the US has to bear all the serious consequences arising thereof,” the envoy warned.

Zhang reiterated that the One China principle is a red line” in Beijing's relations with other nations, and no one will be allowed to cross it.
Mstari mwekundu umefutwa,choreni mwingine sasa
 
Siyo kweli ...china inanjia nyingi za kuipiga usa [emoji631] inaweza kutangaza marufuku ya kutumia dola nchini kwake ilo litakuwa pigo kuu kwa usa [emoji631] na anguko kamili la ufalme wa marekani duniani
Tatizo lenu mmekaa kufikiria anguko la Marekani
 
Siyo kweli ...china inanjia nyingi za kuipiga usa [emoji631] inaweza kutangaza marufuku ya kutumia dola nchini kwake ilo litakuwa pigo kuu kwa usa [emoji631] na anguko kamili la ufalme wa marekani duniani
Unahamisha goli?
 
Back
Top Bottom