Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

Povu jingi .....mpelekeni huyo bibi kwenye moto
 
Muandika Threads mjinga. Maana ya kibabu na kibibi ni nini? Unashindwa kutumia Kiswahili kizuli

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wewe unaweza ukafa ukawaacha hao unaowaita wabibi na kuwatuhumu mda wao wa kuishi umeisha hivi kwanin kumekua na watu wenye upeo mdogo hivi
 
Mambo yamebadilika!

Sidhani kama China atakubali kudhalilika.
 
Chini yachimba mkwara zaidi: Yasema haitakaa kimya kuona heshima ya mamlaka yake ikidfhalilishwa na imejiweka tayari kujibu mapigo!

"We would like to tell the US once again that China is standing by, and the Chinese People's Liberation Army will never sit idly by. China will take resolute responses and strong countermeasures to defend its sovereignty and territorial integrity," Foreign Ministry spokesman Zhao Lijian told reporters, when asked about the fallout from Pelosi leading a congressional delegation to Taipei.
 
umeendika kama chiz vile , Taiwan ndio wanataka kujitenga na China so USA marekan anawasaidia tu wafikie malengo yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…