mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Utakubali kwa lazima tuuKwanini China iseme Taiwan ni yake?
Haya ndo mambo ya tanganyika na Zanzibar.mtu hakutaki unalazimisha ili iweje?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakubali kwa lazima tuuKwanini China iseme Taiwan ni yake?
Haya ndo mambo ya tanganyika na Zanzibar.mtu hakutaki unalazimisha ili iweje?
Elimu ya kukaririHuku Tanganyika tuna Dokta Tulia Ackson.
Mwanamama aliyekariri vifungu vya sheria.
Hana japo mamlaka ya kuamuru mgambo wa manispaa.
Achen ulafiInabidi tujue siri ya wao kuishi miaka mingi ili ikiwezekana na sisi tujiboost
Jf tamu sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee wa MILF [emoji1787]
Povu jingi .....mpelekeni huyo bibi kwenye motoChina kikaragosi kilichotengenezwa na USA baada ya kuruhusiwa kuingia kwenye WTO na free market economy anapata wapi ubavu wa kutunishiana ubavu na Marekani , hivi unadhani Marekani ni Burundi nyie wajinga sio ? ,Hivi mnalojua hili jitu linaloitwa USA au ?
Afrika utasumbuliwa na kufa kwa vingi tu..........mfano kwa sasa vijana wengi ndo wanaoenda na wako fit tuAchen ulafi
Kijana mdogo anakitambii kama kiroba
Pressure sukari vyote vyako huwez kutoboa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Muandika Threads mjinga. Maana ya kibabu na kibibi ni nini? Unashindwa kutumia Kiswahili kizuliHiki kibibi ambacho kimekaribia kuhitimisha maisha yake hapa duniani kinaweza kusababisha maelfu ya watu wakiwemo watoto na vijana kufariki kama kitaendelea na chokochoko chake cha kulazimisha kuingia Taiwan kinyume na matakwa ya China ambayo ndiyo mmiliki halali wa Taiwan. China ilishaionya Marekani kuwa kama kibibi hicho (Nancy Pelosi) kitaamua kutaka kuingia Taiwan kinguvu basi Marekani itakuwa inataka kuchezea moto na lazima itaungua. Tishio hilo liliifanya Ziara ya Pelosi kutokuwa na kituo cha Taiwan kwenye ziara yake ya mashariki ya mbali.
Cha kushangazwa leo jioni Marekani imetangaza kuwa anatazamiwa kuingia Taiwan kesho jumanne!! China imesema imeziagiza ndege zake kukesha zikikizunguka kisiwa cha Taiwan kuhakikishga kuwa Pelosi hatii mguu wake Taiwan!! Marekani imesema inaelekeza meli zake zilizoko karibu na maeneo hayo zielekee huko ili kumlinda Pelosi!! Sijui hili picha litaishaje, lakini waswahili walisema mzaha mzaha hutumbua usaha1! Wote Pelosi na Biden ni wazee na hawana kiu kubwa sana ya kuendelea kuishi lakini kiburi cha kutaka kuonesha umwamba dhidi ya China inaweza kupelekera vita ya tatu ya dunia!! Mungu aepushe balaa hilo!!
Pelosi to visit Taiwan – CNN
The top US official will be staying overnight in Taipei, the news network reports
CNN has confirmed from sources both in the US and in Taiwan that US House Speaker Nancy Pelosi plans to visit the self-governed island this week, despite objections from Beijing, which considers the island part of its territory.
A Taiwanese official said that Pelosi is expected to spend the night in Taiwan, but didn’t offer any details about the time of her expected arrival. A US official said the Pentagon was “working around the clock” to ensure the speaker's safety. Both spoke on condition of anonymity.
Maoni yangu: Marekani anatishia tu wala Pelosi hatothubutu kuingia Taiwan. Ikitokea kweli Pelosi akaingia Taiwan na China ikaingia baridi kutekeleza kitisho chake, China itadharaulika mbele ya dunia na mbele ya Marekani milele!! Japo China kukubali kudharaulika ndio itakuwa wokovu wa dunia kuepushwa na vita kuu ya tatu kwa sasa!!
View attachment 2311328
Kibibi hicho kinataka kuiletea balaa wakati chenyewe kimeshaifaidi dunia kwa miaka 82!!
View attachment 2311330
View attachment 2311333
Kibabu Biden cha miaka 79 chenyewe kimeshaifaidi dunia kwa miaka 79 kinataka kuleta kizazaa duniani kisababishe watoto wadogo na vijana kwa maelfu wapoteze maisha ili mradi tu kionekane kibabe mbele ya China!! Dunia ikipinge hiki kibibi na hiki kibabu kwa nguvu zote!! Wawaache na wenzao wafikishe ile miaka waliyofikia wao!!
SPAIN vs CATALANKwanini China iseme Taiwan ni yake?
Haya ndo mambo ya tanganyika na Zanzibar.mtu hakutaki unalazimisha ili iweje?
Wenye akili zao wamenielewa!Muandika Threads mjinga. Maana ya kibabu na kibibi ni nini? Unashindwa kutumia Kiswahili kizuli
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Hawajui hayo
82 sio milf tena ni grannyMzee wa MILF [emoji1787]
Wewe unaweza ukafa ukawaacha hao unaowaita wabibi na kuwatuhumu mda wao wa kuishi umeisha hivi kwanin kumekua na watu wenye upeo mdogo hiviHiki kibibi ambacho kimekaribia kuhitimisha maisha yake hapa duniani kinaweza kusababisha maelfu ya watu wakiwemo watoto na vijana kufariki kama kitaendelea na chokochoko chake cha kulazimisha kuingia Taiwan kinyume na matakwa ya China ambayo ndiyo mmiliki halali wa Taiwan. China ilishaionya Marekani kuwa kama kibibi hicho (Nancy Pelosi) kitaamua kutaka kuingia Taiwan kinguvu basi Marekani itakuwa inataka kuchezea moto na lazima itaungua. Tishio hilo liliifanya Ziara ya Pelosi kutokuwa na kituo cha Taiwan kwenye ziara yake ya mashariki ya mbali.
Cha kushangazwa leo jioni Marekani imetangaza kuwa anatazamiwa kuingia Taiwan kesho jumanne!! China imesema imeziagiza ndege zake kukesha zikikizunguka kisiwa cha Taiwan kuhakikishga kuwa Pelosi hatii mguu wake Taiwan!! Marekani imesema inaelekeza meli zake zilizoko karibu na maeneo hayo zielekee huko ili kumlinda Pelosi!! Sijui hili picha litaishaje, lakini waswahili walisema mzaha mzaha hutumbua usaha1! Wote Pelosi na Biden ni wazee na hawana kiu kubwa sana ya kuendelea kuishi lakini kiburi cha kutaka kuonesha umwamba dhidi ya China inaweza kupelekera vita ya tatu ya dunia!! Mungu aepushe balaa hilo!!
Pelosi to visit Taiwan – CNN
The top US official will be staying overnight in Taipei, the news network reports
CNN has confirmed from sources both in the US and in Taiwan that US House Speaker Nancy Pelosi plans to visit the self-governed island this week, despite objections from Beijing, which considers the island part of its territory.
A Taiwanese official said that Pelosi is expected to spend the night in Taiwan, but didn’t offer any details about the time of her expected arrival. A US official said the Pentagon was “working around the clock” to ensure the speaker's safety. Both spoke on condition of anonymity.
Maoni yangu: Marekani anatishia tu wala Pelosi hatothubutu kuingia Taiwan. Ikitokea kweli Pelosi akaingia Taiwan na China ikaingia baridi kutekeleza kitisho chake, China itadharaulika mbele ya dunia na mbele ya Marekani milele!! Japo China kukubali kudharaulika ndio itakuwa wokovu wa dunia kuepushwa na vita kuu ya tatu kwa sasa!!
View attachment 2311328
Kibibi hicho kinataka kuiletea balaa wakati chenyewe kimeshaifaidi dunia kwa miaka 82!!
View attachment 2311330
View attachment 2311333
Kibabu Biden cha miaka 79 chenyewe kimeshaifaidi dunia kwa miaka 79 kinataka kuleta kizazaa duniani kisababishe watoto wadogo na vijana kwa maelfu wapoteze maisha ili mradi tu kionekane kibabe mbele ya China!! Dunia ikipinge hiki kibibi na hiki kibabu kwa nguvu zote!! Wawaache na wenzao wafikishe ile miaka waliyofikia wao!!
Mambo yamebadilika!Pelosi expected to visit Taiwan, Taiwanese and US officials say
By Eric Cheung, Kylie Atwood, Alex Rogers and Kevin Liptak, CNN
Updated 1829 GMT (0229 HKT) August 1, 2022
![]()
Watu sikio la kufa halisikii dawa! haka kabibi kanatafuta umaarufu ambao huenda ukagharimu maisha ya maelfu ya watu!! Anachikitafuta hasa ni nini?
Bado hataweza hata mara moja kuivamia Taiwan
umeendika kama chiz vile , Taiwan ndio wanataka kujitenga na China so USA marekan anawasaidia tu wafikie malengo yaoLinapokuja suala la maslahi ya inchi hayo Mambo hayapewi tena kipaumbele, Taiwan ikifanikiwa kujitenga na marekani ikiimarisha ushawishi wake hio ni threat kubwa kwa china..china hawezi kuruhusu hiko kitokee ingawa vita kutoea sio rahisi ,hio ziara ni mwendelezo wa harakati za kuitenganisha Taiwan na china