Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

Bado nakuambia China ya wakati huo siyo China ya leo!! Kama vile USSR ya 1990 siyo sawa na Urusi ya leo!! China ni mbabe wa kiuchumi duniani!! Huwezi kuiwekea vikwazo vya kiuchumi kama ilivyowekewa urusi vinginevyo uchumi wa dunia unakwama wote!!
Hata usibishane naye, eti wageni wakahamishwa kwenda Nagasaki....
 
Kinchomgharimu Mchina anatumia sana diplomasia ndiyo Marekani inamdharau. Masuala tofauti tofauti China inafanyiwa ndivyo sivyo na Marekani wanabaki kutumia diplomasia.

Huo upuuzi Marekani hawezi kuufanya kwa Russia, North Korea wala Iran. Ili China ajenge uzio wa Marekani kumheshimu afanye kweli. Awalipue na huo msafara wake. Lolote liwe! Amini Amerika haitofanya lolote! Kwa sababu anajua kuna vichaa wataunganisha nguvu na madhara makubwa atayapata kwake.
 
China hana nguvu ya kumtisha USA vile CIA wamewachezeshaa mchezo wachina kumbe walikuwa wana test mitambo yao yakijasus na wamejuwa china ni kopo lina piga kelele sasa wamguse waone kitu USA atawafanya.. yani Putn huyo wachina. Watawabanika kama nyama
 
Pelosi anaingia Taiwan na China atabaki kulaan tu by the way sio mara ya kwanza kwa Speaker wa US kwenda hapo au high US ranking official kwenda taiwan
Kauli yako ina asilimia nyingi za ukweli. Asilimia chache naziweka kwenye nukta hii: Ikiwa China kweli ikiwa inataka USA iweze kumheshimu kinguvu ya kijeshi inambidi afanye kweli kama Iran ilivyolipua kambi za USA nchini Iraq. Au kama kipindi cha Nikita Sovieti ya zamani walilipua ndege vita kipindi cha John F. Kennedy. Na asiwe na maneno mengi kama North Korea; kwa hapo anaweza kufanikiwa. Ila mimi bado simwamini Mchina namuona anaweza akasanda.
 
Kuna maana pia kwenye diplomasia, janja janja ya magharibi sio tu kukuingiza kwenye vita na kukushusha kiuchumi ndio plan yao pia. Hivyo sometimes China naye anakua mjanjajanja kwa kukwepa mbinu chafu za western ila trust siku USA akivuka mstari mwekundu patachimbika pia no matter nani atashinda ila itabaki kuwa ni uhatibifu mkubwa.
 
Acha ujinga Mkuu, kwani USA ni Malaika hadi aishi milele zote kiushindani kwa kila kitu duniani?
 
Nakubaliana na wewe pia!

Ngoja tuone kwa kesho itakuwaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…