Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

Tuombe iwe hivyo! Ila Marekani ni mchokozi hadi nanakera! Anasafiri maelfu ya maili kwenda kumchokoza China!
😂
Wote wanaogopana.
Hii mikwara, mtu akitaka kuliwa kichwa hakunaga show off za kipuuzi.
Pearl habour ilishambuliwa ghafla, Russia kamvamia Ukraine ghafla, US walimuua Kasim Suleiman ghafla hio ni mifano michache, tena Russia walikuwa wanakana hawaivamii Ukraine.

Hata Israel missions zake kupiga ME vinu vya nuclear ni ghafla hamna ngonjera.

Hamna cha maana hapo.
 
Hata huko USA wachambuzi wanasema China imekua sana kiuchumi, kijamii, kisiasa, kijeshi, kishawishi duniani, na ndio tishio la USA duniani na wala sio Russia. Wajuvi wa US wanakuambia Russia ni mtukutu tu lkn hawezinkuwa tishio la USA duniani.
 
Tatizo wachina wanafikiri Pelosi ataenda na ndege hapo Taiwan. Sasa watapigwa chenga atakapoenda na submarine 🙂
 
Labda ni New World Oder, nani ajuaye bila ya macho ya rohoni?
 
Hata huko USA wachambuzi wanasema China imekua sana kiuchumi, kijamii, kisiasa, kijeshi, kishawishi duniani, na ndio tishio la USA duniani na wala sio Russia. Wajuvi wa US wanakuambia Russia ni mtukutu tu lkn hawezinkuwa tishio la USA duniani.
Ni kweli
 
Bibi Pelosi aleta drama tu hakuna kitu hapo.

Marekani haiwezi kuruhusu ndege ilombeba Pelosi itue Taiwan.

Labda bibi Pelosi afanye uhuni kama aloufanya alipozuru China miaka 20 ilopita.
 
Tatizo wachina wanafikiri Pelosi ataenda na ndege hapo Taiwan. Sasa watapigwa chenga atakapoenda na submarine 🙂
Tuweke 50%/50% maana hata Putin alipotangaza kwenda ziara nchini Iraq, mlisema anatafuta pa kufia na hataweza kwenda lakini tayari alishathibisha hilo tamko lake wiki chache tu zilizopita.
 
Huyo sio Ndugai wa ccm my friend
 
USA ndio China yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…