Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

Pelosi expected to visit Taiwan, Taiwanese and US officials say​

By Eric Cheung, Kylie Atwood, Alex Rogers and Kevin Liptak, CNN

Updated 1829 GMT (0229 HKT) August 1, 2022
US Speaker of the House, Nancy Pelosi, Democrat of California, speaks during her weekly press briefing on Capitol Hill in Washington, DC, on July 14, 2022. (Photo by SAUL LOEB / AFP) (Photo by SAUL LOEB/AFP via Getty Images)

Watu sikio la kufa halisikii dawa! haka kabibi kanatafuta umaarufu ambao huenda ukagharimu maisha ya maelfu ya watu!! Anachikitafuta hasa ni nini?

Yeye anaenda kwa kazi zake we we unaeandika unaumia. Duh.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Yeye anaenda kwa kazi zake we we unaeandika unaumia. Duh.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Bibi Pelosi hana kazi yoyote kwenye hii tour ya Asia ni kutafuta legacy tu kwamba ni mtu ambae amejitokeza kuwachokoza wachina.

Ndo maana hapo juu nikasema Marekani haiwezi kuruhusu ndege ilombeba Pelosi itue Taiwan na wala hana executive order kuamua ndege itue (kumbuka yeye ni mtu wa tatu baada ya Biden).

Isitoshe, kwenye ile" itinerary" hakuna kituo cha Taiwan.

Pelosi anafahamu huu ndo muda wake wa mwisho kwani uchaguzi ujao hatagombea ubunge tena na anatafuta legacy kwa kutaka kuonekana ameiweza China.

Sasa kama kweli ataka aone moto na acheze nao Wachina wanamsubiri.
 
Ila wenzetu wanaishi sana tofauti na sisi, yaani kiongozi wa miaka 82 au 79 huku Africa ni fujo tu hana lolote ajielewi kuanzia afya ya mwili mpaka akili
Ogopa sana kutiana bila kufanya mazoezi unaishia kuwasugua wanawake na kula tu mavyakula bila kufanya tizi

Ujuavyo afrika vipngozi wetu huwaza mambo madogo madogo baada ya kuingia ofisini ,ngono ,wizi wa fedha
 
Vipi keshatua?
Hawezi kutua kama China wataendelea kukomaa, ila wakionekana kulegeza atatua. Kinachofanywa na Marekani ni kupima kina cha maji!! Wakigundua kina cha maji kinapitika na hakizamishi, basi hapo China atakoma!! Ataendelea kudhalilishwa sana kitu ambacho Urusi wala korea ya kaskazini wasingeweza kuvumilia hata Iran tu, japo yenyewe haina nyuklia!
 
Taiwan nayo yatanua msuli!! Inatuma ndege za kivita kuvinjari eneo la anga ambalo ndege ya iliyombeba Pelosi inatazamiwa kupita!! Siamini kama Taiwan na wao wameamua liwalo na liwe!! Huu ni mtihani mkubwa kwa China!! Ukweli ni kwamba China akikomaa hiyo ndege haitatua!!

Taiwan relocates fighter jets ahead of Pelosi visit – media​

The self-ruled island reportedly deployed additional Mirage 2000 fighter jets to patrol the US speaker's potential approach path.
Taiwan has relocated French-supplied Mirage 2000 fighter jets and other military hardware, according to local media, ahead of a possible visit by US House Speaker Nancy Pelosi.

Eight additional aircraft were moved to the Chihhang Air Base, adding to the two Mirage 2000 fighters already stationed there, the Taiwan-based China Times reported on Tuesday.

The base is located in the southeastern part of the island, where it is through Pelosi’s plane is expected to approach from, the outlet said. The facility was put on high alert, it added.

Kitu cha m-Taiwan kilicholenga kumtisha china hiki hapa:

1659431467852.png

Dunia inasubiri kuona, je China atakubali kutishiwa nyau?
 
Hawezi kutua kama China wataendelea kukomaa, ila wakionekana kulegeza atatua. Kinachofanywa na Marekani ni kupima kina cha maji!! Wakigundua kina cha maji kinapitika na hakizamishi, basi hapo China atakoma!! Ataendelea kudhalilishwa sana kitu ambacho Urusi wala korea ya kaskazini wasingeweza kuvumilia hata Iran tu, japo yenyewe haina nyuklia!
Chuma Mao Zedong angekuwepo hizi dharau za U.S.A zisinge tokea
mao.jpg
 
China nayo yazidi kukomaa, inasema patachimbika kama Pelosi kweli ataamua kutua Taiwan. Imesisitiza huo ni mstari mwekundu ambao hakuna anayeruhusiwa kuuvuka!

China issues warning over possible Pelosi visit to Taiwan​

Beijing is “fully prepared to respond” if US House Speaker Nancy Pelosi travels to Taiwan, China’s UN envoy says.
“China is fully prepared to respond. If the US insists on making the visit, China will take firm and strong measures to safeguard its national sovereignty and territorial integrity, and the US has to bear all the serious consequences arising thereof,” the envoy warned.

Zhang reiterated that the One China principle is a red line” in Beijing's relations with other nations, and no one will be allowed to cross it.
 
Hawezi kutua kama China wataendelea kukomaa, ila wakionekana kulegeza atatua. Kinachofanywa na Marekani ni kupima kina cha maji!! Wakigundua kina cha maji kinapitika na hakizamishi, basi hapo China atakoma!! Ataendelea kudhalilishwa sana kitu ambacho Urusi wala korea ya kaskazini wasingeweza kuvumilia hata Iran tu, japo yenyewe haina nyuklia!
Hii ya sasa ni kama vile mtu kaichakata jibini na akaitawanya na watu wagombania yaitwa "chunky cheese incident".

Nancy Pelosi apenda sana drama na ni mfano wa wale wanasiasa ambao wapatapo nafasi wanaitumia vilivyo kutapanya fedha za walipa kodi bila sababu ya msingi. Miaka miwili baada ya mauaji ya Tiananmen Squire huyu bibi alizuru China na alipokuwa hotelini akawatoroka wale handlers wa kichina ( hata ukiingia nchi kama Korea Kaskazini wapewa handlers ili usichomoe).

Hii pia yaitwa Psychological warfare ambapo wale wataalam wa propaganda wamelipia hii drama, hivyo yacheza na media kusambaza taharuki.
 
One China Principle maana yake kuna China moja tu na Taiwan ikiwa ndani yake!! Kwa hiyo China ikisema huruhusiwi kuingia China (ikiwemo Taiwan) huwezi kuja kinguvu!! Ukija kinguvu maana yaka wewe ni mvamizi!! Swali kwa nini Marekani analazimisha kwenda nchi ambayo mwenye nchi amesema HAPANA?
 
Ni kweli Kuna muda diplomacy haina nafasi . Hii kitu kitamgharimu China . Pelosi akitua Taiwan leo nitaidharau China Sana tena Sana na nitawatoa kweli list ya mataifa matatu yaliyo huru hapa Duniani[ U.S.A , RUSSIA, CHINA ] na itakuwa [ U.S.A, RUSSIA, NORTH KOREA na IRAN ].

# Hakuna diplomacy kwenye dharau.
Marekani imekuwa ikiingia kwenye bahari ya China na anachokifanya China inaisndikiza meli vita za Marekani kisha China inakuja kwenye vyombo vya habari na kulalamika. Huu ni udhaifu mkubwa sana China anaoufanya.

Ikiwa ni kweli Marekani imedhamiria kumsindikiza Pelosi kiubabe nasubiri kuona China itafanya nini! Na ikitokea hilo ndilo litakalokuwa mustakabali wa China kwa wazungu.
 
One China Principle maana yake kuna China moja tu na Taiwan ikiwa ndani yake!! Kwa hiyo China ikisema huruhusiwi kuingia China (ikiwemo Taiwan) huwezi kuja kinguvu!! Ukija kinguvu maana yaka wewe ni mvamizi!! Swali kwa nini Marekani analazimisha kwenda nchi ambayo mwenye nchi amesema HAPANA?
Muda Utajibu.
 
Upo sahihi 100%.dharau Kama hizi hauwezi kumuoneshea Russia hata siku moja. Ata China ya Mao Zedong haya maupumbavu na madharau ya marekani wasingejaribu kufanya.
 
Kwa upande wa URUSI, nchi za magharibi zitalazimika kuiheshimu Urusi jumla!! Wameipiga vita nyanja zote na bado wameamua kuanza kuilegezea baada ya kuona wao ndo wanaumia zaidi na wakati huo huo Ukraine inaendelea kupata kipigo!!
 
One China Principle maana yake kuna China moja tu na Taiwan ikiwa ndani yake!! Kwa hiyo China ikisema huruhusiwi kuingia China (ikiwemo Taiwan) huwezi kuja kinguvu!! Ukija kinguvu maana yaka wewe ni mvamizi!! Swali kwa nini Marekani analazimisha kwenda nchi ambayo mwenye nchi amesema HAPANA?
Taiwan yajitegemea yenyewe
 
Back
Top Bottom