Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

Nimekuuliza kwani jeshi la marekani lipo Ukraine . Ningependa unujibu kwanza nilichokuuliza.
Na mm nikakuuliza kwani hujawahi soma taarifa ya Urusi kuua maafisa wasio raia wa Ukraine? Ningependa ujiongeze kuwa hii vita ni USA washirika wake na Russia. Ukraine haiwezi kupigana na Urusi pekeyake kwa muda wote huo, serekali ingeshaangushwa.
 
Na mm nikakuuliza kwani hujawahi soma taarifa ya Urusi kuua maafisa wasio raia wa Ukraine? Ningependa ujiongeze kuwa hii vita ni USA washirika wake na Russia. Ukraine haiwezi kupigana na Urusi.
Wacha nikuache . Pia wacha nikuachie swali tafuta maana ya mamluki na taarifa rasmi ya marekani kupeleka jeshi Kama ambavyo wanatoa taarifa kamili za upelekwaji wa silaha.
 
Wacha nikuache . Ila wacha nikuachie swali tafuta maana ya mamluki na taarifa rasmi ya marekani kupeleka jeshi Kama ambavyo wanatoa taarifa kamili za upelekwaji wa silaha.
USA haiwezi kukupa taarifa rasmi ya kupeleka wanajeshi na ilishasema kuwa hawatapeleka ili wasiingie kwenye mgogoro wa moja kwa moja na Urusi but kwa akili ya kawaida tu unaweza kupiga hesabu na ukaona wana watu kule la si hivyo hii OP ingeshakwisha.
 
Sasa ni dhahiri, inatazamiwa kuwa Pelosi atatua kwenye uwanja wa ndege wa Taipei huko Taiwan. Atatua saa (2PM-GMT), yaani 5PM kwa saa za afrika ya mashariki au saa 11.00 jioni kwa saa za afrika ya mashariki.

At around 10pm Taipei time (2pm GMT), US House of Representatives Speaker Nancy Pelosi is expected to land in Taipei. Although she omitted the visit to the island from her public itinerary, insider US and Taiwan officials have since told the media that the trip is going ahead. Pelosi is expected to spend the night in Taipei and meet President Tsai Ing-wen the next day, before heading onwards to South Korea and Japan. Meanwhile, China has made it clear that the move constitutes a massive provocation, undermines the foundation of US-China relations, and would cause Beijing to retaliate. The US has since sought to turn the tables and frame China as the aggressor for threatening a response.

Je leo sharubu za China zitafanywa kama sharubu za kambale? au zitaonekana kama sharubu za Simba dume likiwa mawindoni? Maana sharubu za kambale zikionekana maana yake ni kuwa kitoweo kimeonekana! lakini sharubu za simba dume zikionekana ni kiyama kimeonekana! Ni wanaume wachache wanaoweza kusimama nbele ya sharubu za simba dume!! Yetu macho!!
 
Mbona tumepeleka silaha Urusi na hajatufanya lolote lile
Marekani haijaanza leo kupeleka silaha Ukraine wala haitaishia leo maana hiyo ni vita kati ya Marekani (akitumia damu na mikono ya wa-Ukraine) na Urusi!! Urusi haina shida na hilo maana haliwezi kubadili matokeo ya vita wala haitapunguza malengo ya Urusi japo inaweza kuchelewesha kuyafikia!!
 
Naunga mkono China akikubali huu ufedhuli namtoa kwenye taifa huru. Hakuna diplomasia kwenye suala la usalama wa nchi.

China ilitakiwa afanye SMO mapema sana pale Taiwan. Mtoto kaanza jeuri kama za Ukraine
Ukweli ni kwamba kama China hatachukua maamuzi magumu sasa hatakuwa na uwezo wa kuyachukua milele!! Taiwan itaimarishwa sana kijeshi na China itabidi ikubali matokeo!! Tatizo la China ni kuwa inaelekea haiko tayari kulipa gharama kubwa inayotakiwa ili kulinda usalama na heshima yake mbele ya jamii ya kimataifa!! Gharama ya kiuchumi ni kubwa sana lakini itazaa heshima kubwa sana!!

Urusi ilijua kuwa isipochukua hatua sasa dhidi ya Ukraine huko mbeleni haingeweza kufanya chochote maana Ukraine ilikuwa inasheheneshwa silaha kubwa sana za kivita na ingeweza kupokea makombora ya nyuklia ya marekani kama Ujerumani ilivyopokea makombora ya nyuklia ya marekani. Urusi ilijua pia kuwa itagharimika sana kiuchumi lakini iliona kuwa inalipa kuingia hiyo gharama ya kiuchumi kuliko kudharaulika mbele ya mabeberu!!
 
Kwani Pelosi yeye anafuata nini huko Taiwan?

Je, hiyo Taiwan inamzuia Pelosi kwa ajili gani?

hapa kama sijaelewa wanagombania nini.
Pelosi katumwa huko Taiwan na Marekani ili kupima ubavu wa China!!! China ikionekana si chochote manyanyaso mengi yatafuata! Taiwan haimzuii Pelosi, lakini Taiwan ni sehemu ya nchi ya China na China ndiyo inayomzuia Pelosi kutembelea Taiwan!!
 
Ni mchezo wa kupimana ubavu!! Ni majaribu makubwa sana kwa China!! Itabidi China ikubali kul;ipa gharama kubwa sana kama inahitaji kulinda heshima yake!! Marekani bado haijaamini kama China yuko tayari kulipa gharama hiyo kama Urusi ilivyofanya kwa Ukraine!! China iko kwenye mizani ikipimwa!!
 
Pelosi katumwa huko Taiwan na Marekani ili kupima ubavu wa China!!! China ikionekana si chochote manyanyaso mengi yatafuata! Taiwan haimzuii Pelosi, lakini Taiwan ni sehemu ya nchi ya China na China ndiyo inayomzuia Pelosi kutembelea Taiwan!!
Duh, aisee!

Marekani imemtuma Pelosi akafanye nini huko Taiwan? Maana inasemekana Pelosi atalala hapo then asubuhi kuwa na mazungumzo na moja ya kiongozi wa kule.

Je, watazungumzia nini hasa ambacho China ndio inaonekana hawataki kuona kikitokea?
 
Duh, aisee!

Marekani imemtuma Pelosi akafanye nini huko Taiwan? Maana inasemekana Pelosi atalala hapo then asubuhi kuwa na mazungumzo na moja ya kiongozi wa kule.

Je, watazungumzia nini hasa ambacho China ndio inaonekana hawataki kuona kikitokea?
Tatizo siyo watazungumza nini, ila ni kwamba Pelosi anaingia Taiwan bila kibali cha mwenye nchi. Ni sawa na mtoto anayeishi kwenye chumba kimoja nyumbani kwako kumkaribisha hasimu wako hapo chumbani kwake bila kibali chako. Na unapomkatalia yeye anasema lazima aje!!
 
Ni kweli Kuna muda diplomacy haina nafasi . Hii kitu kitamgharimu China . Pelosi akitua Taiwan leo nitaidharau China Sana tena Sana na nitawatoa kweli list ya mataifa matatu yaliyo huru hapa Duniani[ U.S.A , RUSSIA, CHINA ] na itakuwa [ U.S.A, RUSSIA, NORTH KOREA na IRAN ].

# Hakuna diplomacy kwenye dharau.
Usiwatoe mkuu, China atakuwa yupo sahihi kabisa.
 
Hali si hali! Wachina wanasafirisha mpaka ICBM!

Kikinuka kweli Taiwan atakuwa na wakati mbaya kuliko Ukraine.
 
Mambo yamekwivaaaaaa, Pelosi tayari yuko angani kuelekea Taiwan

BREAKING: Aircraft that flew US House Speaker Pelosi to Malaysia has now departed Kuala Lumpur, amid reports it may fly her to Taiwan.
Waleteeeeeeeee
 
Taiwan nayo yatanua msuli!! Inatuma ndege za kivita kuvinjari eneo la anga ambalo ndege ya iliyombeba Pelosi inatazamiwa kupita!! Siamini kama Taiwan na wao wameamua liwalo na liwe!! Huu ni mtihani mkubwa kwa China!! Ukweli ni kwamba China akikomaa hiyo ndege haitatua!!

Taiwan relocates fighter jets ahead of Pelosi visit – media​

The self-ruled island reportedly deployed additional Mirage 2000 fighter jets to patrol the US speaker's potential approach path.
Taiwan has relocated French-supplied Mirage 2000 fighter jets and other military hardware, according to local media, ahead of a possible visit by US House Speaker Nancy Pelosi.

Eight additional aircraft were moved to the Chihhang Air Base, adding to the two Mirage 2000 fighters already stationed there, the Taiwan-based China Times reported on Tuesday.

The base is located in the southeastern part of the island, where it is through Pelosi’s plane is expected to approach from, the outlet said. The facility was put on high alert, it added.

Kitu cha m-Taiwan kilicholenga kumtisha china hiki hapa:

View attachment 2311788
Dunia inasubiri kuona, je China atakubali kutishiwa nyau?
Unataka China akomaeje? Unafikiri ni kwanini Taiwan ameamua kujirisk?
 
Back
Top Bottom