Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

Ni kweli Kuna muda diplomacy haina nafasi . Hii kitu kitamgharimu China . Pelosi akitua Taiwan leo nitaidharau China Sana tena Sana na nitawatoa kweli list ya mataifa matatu yaliyo huru hapa Duniani[ U.S.A , RUSSIA, CHINA ] na itakuwa [ U.S.A, RUSSIA, NORTH KOREA na IRAN ].

# Hakuna diplomacy kwenye dharau.

Naunga mkono China akikubali huu ufedhuli namtoa kwenye taifa huru. Hakuna diplomasia kwenye suala la usalama wa nchi.

China ilitakiwa afanye SMO mapema sana pale Taiwan. Mtoto kaanza jeuri kama za Ukraine
 
Mambo yamekwivaaaaaa, Pelosi tayari yuko angani kuelekea Taiwan

BREAKING: Aircraft that flew US House Speaker Pelosi to Malaysia has now departed Kuala Lumpur, amid reports it may fly her to Taiwan.

Nipo nmetulia pale akitua mnitagg, Anataka kuona ubabe wa China atafanya nini?
 
Naunga mkono China akikubali huu ufedhuli namtoa kwenye taifa huru. Hakuna diplomasia kwenye suala la usalama wa nchi.

China ilitakiwa afanye SMO mapema sana pale Taiwan. Mtoto kaanza jeuri kama za Ukraine
Kweli kabisa.
 
Su
Ndo twaenda Tangaza itambua kama nchi kamili, kiufupi ni Marekani ndogo
Subiri wacha tuone. Ila kingekuwa kipo hai hiki chuma hizo dharau msingeonesha dhidi ya ardhi ya babu zake.
mao.jpg
 
Mi namshangaa China anafanyiwa kila mbinu chafu na US kuwadhoofisha kiuchumi, sakata la huawei , 5G, tiktok imefanyiwa campaign chafu mpaka US kainunua, ZTE n.k n.k.

Sasa ya nini kumnyenyekea mtu wa namna hio? Kumnyenyekea sio guarantee ataacha upate maendeo na asikufanyie fitina.

Chinese siwaelewi, watoe onyo kali sana ya vitendo.
 
Bibi Pelosi aleta drama tu hakuna kitu hapo.

Marekani haiwezi kuruhusu ndege ilombeba Pelosi itue Taiwan.

Labda bibi Pelosi afanye uhuni kama aloufanya alipozuru China miaka 20 ilopita.
Kabisa,
Itapakiwa ndege tupu,
Afu atakuja na Njia nyingine.
 
Mbona tumepeleka silaha Urusi na hajatufanya lolote lile
Ni swali muhimu na pengine tujiulize tena: Kwa nini msaada anaopatiwa Ukraine usiwe wa kupeleka mashambulizi Moscow nao wawapelekee athari ya moja kwa moja kama wao wanayoipata ndani ya nchi yao?
 
Kuna button mbili moja ni OP mode nyingine WAR mode, ni juu ya Ukraine na NATO kuactivate hio button ya WAR mode.
 
Mi namshangaa China anafanyiwa kila mbinu chafu na US kuwadhoofisha kiuchumi, sakata la huawei , 5G, tiktok imefanyiwa campaign chafu mpaka US kainunua, ZTE n.k n.k.

Sasa ya nini kumnyenyekea mtu wa namna hio? Kumnyenyekea sio guarantee ataacha upate maendeo na asikufanyie fitina.

Chinese siwaelewi, watoe onyo kali sana ya vitendo.
Sii hizo tu!

US amefika mbali mpaka anawauzia Taiwan silaha za kijeshi. Kama kumbukumbu zangu zipo sawa Trump aliingia dili la kuwauzia silaha Taiwan.

Huu ni udhaifu mkubwa sana kwa China. Ni mkubwa sana!

China inabidi iue ndege wawili kwa jiwe moja kama kweli imedhamiria heshima yake ifanye kwa vitendo Marekani na kabla damu haijapoa wafanye kama Kim Jung Un alichokifanya kwa Japan; apitishe makombora juu ya anga ya Taiwan na apitishe ndege vita ziingie kabisa ndani ya Taiwan.
 
Sambamba na kufanya jaribio la kombora la nuclear.
 
Kwa ustawi wa usalama wa nchi: Yoyote atakaejaribu kuitenganisha nchi au kuigawa au kujaribu kugawa sehemu ya nchi au kuleta uchochezi wa aina yoyote wa kuhamisha nchi kujigawa mfano kama wa Taiwan vitendo na kauli zako ziwe za kiuwendawazimu watu wa namna hiyo ndipo watakapojua unamaanisha.
 
Back
Top Bottom