Marekani: Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote

Marekani: Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,156
Reaction score
1,667
Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani.

Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba hiyo mpaka aalikwe tu na amepewa ruhusa ya kumuona mwanae mara 3 tu kwa mwezi

Mke wa Tyrese amesema alikubali kuolewa na Tyrese sababu ya umaarufu tu ila hakuwa na hisia nae kimapenzi hata kidogo na wakati wote akiwa na Tyrese alikuwa akifanya mawasiliano na huyo ex wake

Anasema ex wake ndio mwanaume waliyependana kwa dhati japo hakuwa na pesa wala umaarufu ila hisia zake zote daima zilikuwa kwa njemba huyo

Unaambiwa saiv huyo jamaa anaishi nyumba ya Tyrese na mke wa Tyrese (mtalaka), mwamba anafinyia kwa ndani

Tyrese kapoteza kila kitu, wanawake mna matukio sio poa

Jamaa amelia mno aisee 😭😭😭😭

Pia, Soma: Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
 
Hapa kuna cha kujifunza,usione una vihela vyako ukaona wanawake wanapatikana kirahisi ukajiona wewe ni handsome au una sumaku,kinachowaleta kwako ni pesa.Pia ni vizuri sana unapotafuta mke wa kuoa usitumie pesa kumrubuni ili akupende,akishazizoea hizo hela ujiandae tu kupigwa tukio......
 
Black American star waache uzwazwa wakuje kuoa huku Africa ,Kuna Mali safi sana zipo south Africa ,Eswatin ,tanzania na Nk ,

Lasivyo wazungu watawafirisi vyote na Sheria zao za Ajabu ajabu
Kabisa upo sahihi ulaya au marekani usithubutu kuoa ,tunamuonea huruma sana ngolo kante its just the matter of time, akiacha kucheza ndio atajua lile lishangazi lake la kizungu lipo kwa ajili gani
 
Back
Top Bottom