Marekani: Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote

Kabisa upo sahihi ulaya au marekani usithubutu kuoa ,tunamuonea huruma sana ngolo kante its just the matter of time, akiacha kucheza ndio atajua lile lishangazi lake la kizungu lipo kwa ajili gani
kupitia mastaa weusi walioko ulaya na marekani unapata picha ya ulimbukeni na uduni wa akili wa watu weusi. mimi kwa kweli kwanza sina taste na whites..nikiwa naye basi ni kwa lengo la kunivusha tu kimaisha au aanze yeye kunizimikia kweli na awe mkisu.
 
Dah Jamaa self made hafu anatokes fala anachukua tu mali kizembe.
hakuna cha kuyaonea huruma hayo majinga meusi. yanaishi nchi inaruhusu prenup kwanini usitumie? pili, wakiwa na pesa wanaona weusi wenzao mavi wanakimbilia weupe. tatu, mengi yakifanikiwa hata weusi wenzao hawawapigi tafu. ni mafala sana ma mtu meusi
 
Wewe nia yako ni kutaka watu wakate tamaa kuoa. Hawakati ng'oo! Vikao vya harusi ndiyo vinazidi.
 
Ni shida sana na tunakokwenda watu wataacha kuoa kwa kuogopa kwa haya wanayoyaona ya kila siku yanayotokea ndoa za sasa asilimia kubwa zimejaa tamaa na mauaji ya kila siku tunayoyasikia
Exactly! Watu wataogopa kuoa, lakini hata kama wakioa wataogopa kufanya maendeleo ya pamoja. Hii dunia imemnyima mwanaume haki, haki zote zimekuwa za mama na mtoto. Na hata sheria nyingi zinam favor mama na mto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…