Marekani: Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote

Ni kwanini mali zote achukue mwanamke ?
Kwani hawagawani nusu kwa nusu ?
 
Ukipata Mwanamke unaemuweza yaani mnyonge wako mnyooshe kweli kweli yaani mnyonge haswaahaswaaa, haipunguz maumivu ila inarudisha hadhi ya kiume.
#Utakuja kunishukuru
 
Huko kwao wametengeneza sheria za kumkandamiza mwanaume. ingekuwa mimi wangeniua kwenye hiyo nyumba ili wafaidi vizuri, aliyeamua kuvunja mahusiano anatakiwa aende kwa amani bila kuangalia vilivyobaki
Hata hapa kwetu sheria ni iyo iyo sema tu wanawake bado wapo kwenye hatua za mwanzoni, uko mbeleni itakua kama hawa wa ulaya na marekani tu.

Tupo hapa tunaongrlea haya mambo kila siku tunaambiwa tuna chuki na wanawake, tuna inferior complexity n.k lakini muda utaongea.
 
hapo shida ni system yao tu ulaya na amerika. lkini hawa mastar sjui kwanini kwa nchi yao ilivyo hawapendi kusaini "prenuptial agreement" hii ingewalinda
Hata prenuptual pesa itakutoka mkuu. Suluhisho ni kuandika mali zako jina la bi mkubwa au usioe then msainishe demu mkataba mkiachana hapati chochote kutoka kwako kama anavyofanya cristiano ronaldo.
 
Umesema vyema mkuu
 
Kama Emanuel Eboue yeye alinyang'anywa mali zote akaachiwa boksa 3 ili akifua moja nyingine anavaa inayobaki inakaa standby
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kabisa upo sahihi ulaya au marekani usithubutu kuoa ,tunamuonea huruma sana ngolo kante its just the matter of time, akiacha kucheza ndio atajua lile lishangazi lake la kizungu lipo kwa ajili gani
Ngolo kante ni suala la muda tu
 
Black American star waache uzwazwa wakuje kuoa huku Africa ,Kuna Mali safi sana zipo south Africa ,Eswatin ,tanzania na Nk ,

Lasivyo wazungu watawafirisi vyote na Sheria zao za Ajabu ajabu

Bora wa huko wanakuachia uhai. Huku wanakunyonga kabisa ili ukalilie jehanam.
 
Ushenzi WA kukimbilia kuoa malaya wa kizungu , kwanini hawa wapumbavu weusi hawajifunzi kwa waarabu ,wahindi , Chinese nk ?
Wale wanaoa wenyewe kwa wenyewe tena waliotoka nchi moja .
Ushamba wa mtu mweusi ni mzigo
Mkuu unadhani kuna nafuu hata ukioa cheusi mangala wa ushirombo? Fuatilia wengi wanalizwa na weusi wenzao.
 
Umesema vema kuna wanaume wanajikuta magentlemen kulko hata hakeem na 50 cent, kutwa kucha kujivimbisha viriba tumbo eti mwanaume halalamiki.Na wengi wa dizain hiyp ndo huwa yakiwatokea puani huwa wanafanya maamuz ya kuua.
 
Roberto Carlos kachezea Chuma.
Pep upara nae kafyatuliwa.
Mali zao zitaelekezwa kwa Mama na watoto na Hawa wamaedumu na wake zao kwa miaka mingi ( Kipara 30yrs , Carlos over 20
Ndoa miyeyusho vijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…