Mzibua Vyoo
Senior Member
- Nov 8, 2023
- 108
- 241
Halafu kuna jamaa kaanzisha uzi anasema tuzinyenyekee 'K'. Matokeo yake ndiyo hayo ya akina Tyrese Gibson
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake viazi mviringo vya Mbeya... ... ... ndio mwanaume waliyependana kwa dhati japo hakuwa na pesa wala umaarufu.. ...
MpuuzeniHalafu kuna jamaa kaanzisha uzi anasema tuzinyenyekee 'K'. Matokeo yake ndiyo hayo ya akina Tyrese Gibson
Mwamba alibadilisha gia altareni 😀😀😀Mwamba huyu hapa baada ya kugundua mwanamke anaemuoa hajasahini prenup aliacha kuoa.View attachment 3114634
Hata hapa kwetu sheria ni iyo iyo sema tu wanawake bado wapo kwenye hatua za mwanzoni, uko mbeleni itakua kama hawa wa ulaya na marekani tu.Huko kwao wametengeneza sheria za kumkandamiza mwanaume. ingekuwa mimi wangeniua kwenye hiyo nyumba ili wafaidi vizuri, aliyeamua kuvunja mahusiano anatakiwa aende kwa amani bila kuangalia vilivyobaki
nyoooooo pyuuuuWanawake viazi mviringo vya Mbeya
Hata prenuptual pesa itakutoka mkuu. Suluhisho ni kuandika mali zako jina la bi mkubwa au usioe then msainishe demu mkataba mkiachana hapati chochote kutoka kwako kama anavyofanya cristiano ronaldo.hapo shida ni system yao tu ulaya na amerika. lkini hawa mastar sjui kwanini kwa nchi yao ilivyo hawapendi kusaini "prenuptial agreement" hii ingewalinda
Umesema vyema mkuuHapo malaya kafanikiwa sana huku hiyo mijanaume yote miwili ikiwa imetumika kama ngazi kwenye maisha ya mwanamke
Huyo EX ni bonge la simp yaani malaya akuache aende akaliwe kisha arudi kwako eti alikuwa anakupenda ila kule alifuata umaarufu tu? Serious..
Huyu wa pili nae fara sana hakukaa kitaalamu hadi kafilisiwa..
Kama kuna kipindi unatakiwa kukaa na manzi wiki hasa huko ulaya na Marekani ni hiki. F*ck her for a week and move forward..
Me by now sina ile guilty state ndani yangu hasa napo-waplay wanawake.. No mercy.
Maana najua nikifanya mistake ndogo akanipatia ataniadhibu vibaya mno..
Maisha ya sasa ni kukaa kitaalamu tu..
We simamisha sana hiyo D*ck lakini usipende wala kujali, ukienda kizezeta utaumia sana.
Mimi kwasasa nikikukuta unatoka na manzi yangu lodge siumii maana kwanza sina malengo nae wala uwekezaji wowote juu yake..
Nimeamua kuwa mharibifu kama nondo mdudu..
Na wanavyojua kutegeshea mimba wakidhani ndio kamba ya kuninasa,,
Mbona watazaa sana?
Siwanyimi mimba maana hata wakizaa sio kigezo cha mimi kuwaoa kamwe..
Wao wabebe tu mimba na kuzaa tunawaenzi mababu zetu
Hii mifumo ya 50/50 tunakabiliana nayo in a hardway no more cries for men..
But if you choose to cry, its your own foolishness.
Natafuta Ajira Xi Jinping Zemanda Mzee wa kupambania LIKUD min -me Half american dronedrake Liverpool VPN .
Unataka nikukamatie webibie uzae mapachanyoooooo pyuuuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama Emanuel Eboue yeye alinyang'anywa mali zote akaachiwa boksa 3 ili akifua moja nyingine anavaa inayobaki inakaa standby
Ngolo kante ni suala la muda tuKabisa upo sahihi ulaya au marekani usithubutu kuoa ,tunamuonea huruma sana ngolo kante its just the matter of time, akiacha kucheza ndio atajua lile lishangazi lake la kizungu lipo kwa ajili gani
Black American star waache uzwazwa wakuje kuoa huku Africa ,Kuna Mali safi sana zipo south Africa ,Eswatin ,tanzania na Nk ,
Lasivyo wazungu watawafirisi vyote na Sheria zao za Ajabu ajabu
Mkuu unadhani kuna nafuu hata ukioa cheusi mangala wa ushirombo? Fuatilia wengi wanalizwa na weusi wenzao.Ushenzi WA kukimbilia kuoa malaya wa kizungu , kwanini hawa wapumbavu weusi hawajifunzi kwa waarabu ,wahindi , Chinese nk ?
Wale wanaoa wenyewe kwa wenyewe tena waliotoka nchi moja .
Ushamba wa mtu mweusi ni mzigo
Umesema vema kuna wanaume wanajikuta magentlemen kulko hata hakeem na 50 cent, kutwa kucha kujivimbisha viriba tumbo eti mwanaume halalamiki.Na wengi wa dizain hiyp ndo huwa yakiwatokea puani huwa wanafanya maamuz ya kuua.Hata hapa kwetu sheria ni iyo iyo sema tu wanawake bado wapo kwenye hatua za mwanzoni, uko mbeleni itakua kama hawa wa ulaya na marekani tu.
Tupo hapa tunaongrlea haya mambo kila siku tunaambiwa tuna chuki na wanawake, tuna inferior complexity n.k lakini muda utaongea.