Marekani waongeza muda wa kupata visa ya Marekani kwa watanzania hadi kuwa miezi Sita

Ukiwa na kibali cha kazi SA kuanzia miaka miwili mpaka mitatu au Permanent Resident ya SA hatusumbuki kuja Bongo kuomba Visa iwe ya USA au UK unaomba hapo hapo Pretoria unapewa bila usumbufu wowote na unapoenda ubalozini ni kama kuthibitisha tu kuwa unaeomba ni wewe maana vijiswali ni vya hovyo hovyo harafu vichache sio kama Bongo ukimaliza unaulizwa utafata Passport au utalipia gharama ili uletewe home au kwenye Address yako ya kazi uliyoweka pale....
 
Mkuu,

Asante sana kwa taarifa hii muhimu.

Tujue nchi tofauti zinakuwa na changamoto gani.
 
Halafu ukimuona basi, hata huwezi kumfikiria huyu anaweza kufanya hivyo.

Wale ma Counselor ubalozini tatizo lao kubwa ni watu wanaotaka kuzamia kimoja Marekani.

Na huyu dada alikuwa anajiamini kabisa kwamba yeye anakuja likizo kusalimia wiki chache, kisha anarudi nyumbani, na nyumbani ana kazi yake nzuri inamngoja, ana strong family ties, in fact angetaka kuishi Marekani mimi ningemfanyia mpango wa green card ya familia, alikuwa hataki mwenyewe anasema haitakiwi wote tukae huku Marekani, familia inahitaji watoto Tanzania pia, sasa akaona maswali yote haya invasive ya nini? Akawa anataka kughairi safari.

Mpaka leo nikimkumbushia na kumdadisi alifikiria nini kusema vile anacheka sana.

Hapo nilijifunza kitu kikubwa sana kuhusu human dignity.

Kumbe wale ma Counselor Wamarekani nao wanajua human dignity ni nini, na kuna maswali mengine yakivuka mpaka ukawarudisha kwenye mstari kama una principle wanakuelewa mpaka kukuomba msamaha wenyewe.

Msijaribu kugeza lakini, kila mtu na "nyota" yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ila kamkubwa kiranga nakukubali kinoma.

Umeishi marekani muda mrefu(sujui muda gani), still unaandika kiswahili kimenyooka kuliko sisi.

Yaani unaweza kuandika English tamu still unanyoosha kiswahili safi kabisa, ila kuna wenzangu na mie ..hata Burundi hawajafika wanaandika vitu havieleweki si English si kiswahili.

Besides, umeenda marekani mwaka gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ingekuwa makini sana na kufanya uhusiano na Russian,putin ni rais asiyependa democracy,yuko madarakani mwaka wa27 nahisi huu,nchi yake njaaa tupu,tabia ya mrussia,haina tofauti na vibaka wetu wa huku,ndo maana huezi kuta wameajirika,ukiweka simu vibaya wanalamba,ndo maana hata ulaya wenzao hawawataki
 
Ila kamkubwa kiranga nakukubali kinoma.

Umeishi marekani muda mrefu(sujui muda gani), still unaandika kiswahili kimenyooka kuliko sisi.

Yaani unaweza kuandika English tamu still unanyoosha kiswahili safi kabisa, ila kuna wenzangu na mie ..hata Burundi hawajafika wanaandika vitu havieleweki si English si kiswahili.

Besides, umeenda marekani mwaka gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unanichokozaa, unanichokozaa nifunguke kakaa.

Kaka nilisikitika sana siku ya Kiswahili duniani July 7 mwaka huu tulikuwa tumekaa na rafiki zetu Watanzania walio nyumbani na nje, tukafanya mchezo wa kuongea Kiswahili kilichonyooka, ukiweka neno la kiingereza mara tatu unaondolewa kuongea, wengi walishindwa.

Kati ya watu kama 20 walioongea, ni wawili tu waliweza kuongea Kiswahili kilichonyooka.

Kichekesho ni kwamba, kuna wengine tuko nje tunaongea Kiswahili kizuri kuliko waliopo nyumbani.

Mimi nimefanya kazi ya kutafsiri Dhammapada na kaka mkubwa (wa kaka mkubwa) Andrew Nyerere hapo Buddhist Temple, kazi ilihitaji nidhamu kubwa sana, kwa hivyo hata nikiharibu labda nimeamua tu au keyboard ya simu inanisumbua. Hivi vitu vidogo vya kujua l na r havisumbui. Mtoto wa Mission Quarters, kwetu Muhonda St. Tangu enzi za John Rupia na Baba Kabwela akiwa anaenda UNO. Mji wote wangu, Kariakoo, Mwembetogwa, Upanga, Oysterbay, Masaki, Kijitonyama, Sinza, Mbezi Beach mpaka Tabata Ubaya Ubaya kote kwangu. Kote nimekaa.

Hilo kanisa kuu la Waluteri Azania Front hapo Posta ya zamani Sokoine Drive kalijenga baba yake bibi yangu, wamemaliza 1903.

Familia tumeijenga Dar. Mchafukoge yetu tangu enzi za Jumbe Tambaza mwenyewe. Ali Tambaza stand up.

Mji umekuja kwetu, sisi hatujaja mjini.

Mimi nimechomoka nikitoka na kurudi, lakini nilipoondoka kimoja kuja kusoma na kuishi US ni mwaka 2000.

Shukurani kubwa kwa kunitambua.
 
Warudishieni kikumbo na wao kuja Serengeti ,Kilimanjaro, Zanzibar etc wasubiri visa miezi sita.

Tuone kama hawajapunguza jeuri.

Miaka kadhaa nyuma, kuna siku dada yangu mdogo alikuwa anataka kutoka Tanzania kuja likizo kutusalimia ndugu zake US. Ilikuwa ndiyo mara yake ya kwanza kuja US.

Alivyofika ubalozi wa US kuomba visa, yule Counselor anayetoa visa akawa anamuuliza maswali invasive. Yani yale ya kuhakiki kama atarudi, ana kazi, na mengine mengi ya kizushi zaidi waziwazi kabisaaa.

Yule dada akili zake anavyozijua mwenyewe, alivyoona maswali ya kijinga yanazidi, akamuwakia yule Counselor.

Akamwambia I am offended by your presumptuos and invasive questions. Naghairi safari sasa hivi, nipe passport yangu. Huko Marekani nakwenda kusalimia tu ndugu zangu, si safari ya lazima sana.

Yule Counselor akastuka sana, inaonekana ilikuwa kitu cha ajabu sana kupata Mtanzania anayeweza kuji assert hivyo.

Hapo hapo yule Counselor akaanza kumuomba msamaha yule dada yangu mdogo. Akamgongea visa.

Kuanzia siku hiyo, yule dada akawa anakuja na kutoka Marekani anavyotaka. Mpaka sasa hivi kachoka mwenyewe safari za likizo Marekani.

Labda Tanzania tunatakiwa kuji assert zaidi kama alivyofanya huyo dada yangu mdogo, kufanya some sort of reciprocity.

Tatizo ni kwamba, reciprocity works among equals. Sisi kama tunahitaji sana hela za watalii wa Kimarekani, kuwalazimisha wangojee miezi sita kuja kutalii wataghairi na kwenda sehemu nyingine.

Na sisi Tanzania tunaona hatuwezi ku afford kukosa hela za watalii wa Kimarekani.

Inabidi tuwakubalie wachukue visa on arrival Tanzania.
Mwanangu hongera haupo huku porini msitu wa manyani tunauzwa kwa waarabu na wazungu
 
Poleni sana kwa mtakaokumbwa na msala huo. Alichokiandika Kiranga ni kweli kabisa. Wanakudharau kama haujiamini.
Ukiwa na principles zako watakuheshimu na ndivyo tunavyoishi nao.
Ninapoongelea principles simaanishi uwe jungle minded. Maana kuna watu hamkawii kutaka kumtolea mfano mtu fulani. Yule mtu wenu alikua ni saddist pia jungle minded.
 
Unanichokozaa, unanichokozaa nifunguke kakaa.

Kaka nilisikitika sana siku ya Kiswahili duniani July 7 mwaka huu tulikuwa tumekaa na rafiki zetu Watanzania walio nyumbani na nje, tukafanya mchezo wa kuongea Kiswahili kilichonyooka, ukiweka neno la kiingereza mara tatu unaondolewa kuongea, wengi walishindwa.

Kati ya watu kama 20 walioongea, ni wawili tu waliweza kuongea Kiswahili kilichonyooka.

Kichekesho ni kwamba, kuna wengine tuko nje tunaongea Kiswahili kizuri kuliko waliopo nyumbani.

Mimi nimefanya kazi ya kutafsiri Dhammapada na kaka mkubwa (wa kaka mkubwa) Andrew Nyerere hapo Buddhist Temple, kazi ilihitaji nidhamu kubwa sana, kwa hivyo hata nikiharibu labda nimeamua tu au keyboard ya simu inanisumbua. Hivi vitu vidogo vya kujua l na r havisumbui. Mtoto wa Mission Quarters, kwetu Muhonda St. Tangu enzi za John Rupia na Baba Kabwela akiwa anaenda UNO. Mji wote wangu, Kariakoo, Mwembetogwa, Upanga, Oysterbay, Masaki, Kijitonyama, Sinza, Mbezi Beach mpaka Tabata Ubaya Ubaya kote kwangu. Kote nimekaa.

Hilo kanisa kuu la Waluteri Azania Front hapo Posta ya zamani Sokoine Drive kalijenga baba yake bibi yangu, wamemaliza 1903.

Familia tumeijenga Dar. Mchafukoge yetu tangu enzi za Jumbe Tambaza mwenyewe. Ali Tambaza stand up.

Mji umekuja kwetu, sisi hatujaja mjini.

Mimi nimechomoka nikitoka na kurudi, lakini nilipoondoka kimoja kuja kusoma na kuishi US ni mwaka 2000.

Shukurani kubwa kwa kunitambua.
Asante kaka mkubwa, salute kwako.

Miaka 23 US si mchezo, wengine sidhani wangeongea hata kiswahili.

Yaani kuna muda natamani kuandika kiswahili kilichonyooka (na kuongea) kama wewe japo sijui lafudhi yako, ila nashindwa.

Ghafla unanivuruga na English iliyonyooka ile ya ndani hata watoto wa Brooklyn unawapoteza, sio kwa maneno magumu tu lakini sana sana ile taste...japo sijui accent yako pia.

Refer kuna siku ulikua unazungumzia masaki, ghafla ukaandika "you were out and about...", kimya kimya nikanyooka google [emoji23][emoji23][emoji23], na hii imekua mara kadhaa , naenda sana google kutokana na uandishi wako.

Salute sana, umekua balozi mzuri wa kiswahili, japo na English unatufundisha pia.

Anyways, ulisomaga finance na uko wallstreet ?!!..usiseme nakujaza bro[emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu nashukuru sana. Una tabia ya kitajiri ya kufurahia mafanikio ya mtu na kujifunza sana.

Mimi mara nyingine huandika mambo mpaka najistukia, kuna watu wenye mawazo madogo wanaweza kuniona mjivuni, lakini tusipoambizana mambo kwa viwango vya juu, tutajifunza vipi? Tutafundishana vipi ikiwa kila ninapoandika msamiati najihisi kwamba natumia lugha ngumu?

Inabidi tujifunze na tupeane changamoto za kujifunza zaidi.

Mimi nilisoma IT, nika specialize katika banking/security/ IT project management, napiga sana mergers and acquisition/ compliance/ cloud integration projects zile za big banking/financial conglomerates. Mostly working from home.

Sasa hivi nina passion ya kutafuta vijana walio sharp tuchangie zaidi kwenye hii space kimataifa, wabongo naona kama wachache sana, au labda wako in silos.
 
Mkuu nashukuru sana. Una tabia ya kitajiri ya kufurahia mafanikio ya mtu na kujifunza sana.

Mimi mara nyingine huandika mambo mpaka najistukia, kuna watu wenye mawazo madogo wanaweza kuniona mjivuni, lakini tusipoambizana mambo kwa viwango vya juu, tutajifunza vipi? Tutafundishana vipi ikiwa kila ninapoandika msamiati najihisi kwamba natumia ligha ngumu?

Inabidi tujifunze na tupeane changamoto za kujifunza zaidi.

Mimi nilisoma IT, nika specialize katika banking/security/ IT project management, napiga sana mergers and acquisition/ compliance/ cloud integration projects zile za big banking/financial conglomerates. Mostly working from home.

Sasa hivi nina passion ya kutafuta vijana walio sharp tuchangie zaidi kwenye hii space kimataifa, wabongo naona kama wachache sana, au labda wako in silos.

Once again ..."silos"[emoji23][emoji23][emoji23]

Now, nimeelewa, nakumbuka kuna kipindi ulikua kwenye jukaa la tech ukawa kwenye ile thread ya php vs python (moja ya ubishi mrefu sana) from geeks.

Nikawa najiuliza huyu braza si wa finance mambo ya php/python wapi na wapi, kumbe ni IT expert kwenye finance.

Okay, personally nafanya data science, how can I join your movement ?

I got hands on skills katika R, SQL

PHP basics, python najifunza still (lengo kuifanyia machine learning ).

Upo bongo au wapi?

Sasa hivi tupo katika hatua za awali za kuanzisha kampuni Bongo na kuwezesha watu kuchukua projects za kimataifa kutoka Bongo, as long as kuna talent, organization na reliable internet. Kuna ntu anakuja huko anarudi kimoja atakuwa anakuja huku na kurudi. Tukikaa tayari nitaleta habari.
 
Niko bongo, dsm.

Keep me updated bro..[emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuwezi fanya hivyo, tunahitaji waje kwa wingi nchini tupate hizo US dollars......
Sasa Kama tunashida sana ya Dola bora tuondowe Shiling kwenye mzunguko wetu tuingize US Dola ndiyo iwe inatumika kwenye Maisha yetu ya kila siku!!
 
Back
Top Bottom