Marekani waongeza muda wa kupata visa ya Marekani kwa watanzania hadi kuwa miezi Sita

Marekani waongeza muda wa kupata visa ya Marekani kwa watanzania hadi kuwa miezi Sita

FB_IMG_1726501524276.jpg
 
Mchina hajui kingereza ila waingereza wanaujua moto wa macho madogo
Asante sana....jamaa wamekuja na drone ya kubeba kilo hamsini kwa ajili ya matumizi Shambani!!! Drone yenyewe, RTK na chaja zake ni tzs 100 million!!!
===
Watu wanashangilia vingereza!!!
 
Jamaa ana kingereza kibovu alafu naskia kafundisha mpaka vyuo marekani. Lakini kingereza cha kukijua kwenye utu uzima uwa hakikai vizuri
Marekani anafundisha chuo kikuu, somo la kiswahili. mkewe ni mzungu, nyumbani wanaongea kiingereza yeye na mkewe na watoto wake, mtaani na kila mahala. kama hajui ni kujitakia tu. amekaa huko miaka zaidi ya 10 na zaidi huko, ila hajadaka kabisa lafudhi.
 
Mchina hajui kingereza ila waingereza wanaujua moto wa macho madogo
Mkuu unatafuta faraja kwa kuwashindanisha mchina na muingereza?

Wachina wanazamia Uingereza. Je umeshamuona Muingereza anazamia China?
 
Back
Top Bottom