Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Vikwazo huanza taratiibKwa mujibu wa Ernest B. Makulilo wa EBM SCHOLARS kwa sasa muda wa kuprocess visa ya kwenda Marekani kwa raia wa Tanzania ni miezi Sita.
Kwa lugha nyepesi ni ukiomba visa ya kwenda Marekani leo utapokea majibu ya maombi yako baada ya miezi Sita (Februari 2024)
View attachment 2706482