Marekani waongeza muda wa kupata visa ya Marekani kwa watanzania hadi kuwa miezi Sita

Vikwazo huanza taratiib
 
Sasa Kama tunashida sana ya Dola bora tuondowe Shiling kwenye mzunguko wetu tuingize US Dola ndiyo iwe inatumika kwenye Maisha yetu ya kila siku!!
Dola tayari inatumika, kwenye ada za shule za private sehemu nyingi wanalipa kwa dola, Intwrnational School of Tanganyika mpaka website yao wameweka ada kwa US dollars, kwenye real estate kodi sehemu nyingi wanalipa kwa dola. Sehemu nyingi za kitalii wanalipa dola.

Halafu hapohapo serikali imepiga marufuku matumizi ya dola kwenye malipo Tanzania.
 
Mmh umewahi kumsikia akaongea ung'eng'e? Mtu utashangaa huyu jamaa kweli pamoja na kuishi mbele miaka na miaka hiki ndo kiingereza anaongea?
Anaongea kingereza cha ovyo kweli yaani mtu amekaa US miaka mingi ila wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…