Wewe unaweza kuzungumza Kiingereza?Ila kuna watu mnajua kujoke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣makulilo anaongea English ya kiha yule
So poor
Asante sana....jamaa wamekuja na drone ya kubeba kilo hamsini kwa ajili ya matumizi Shambani!!! Drone yenyewe, RTK na chaja zake ni tzs 100 million!!!Mchina hajui kingereza ila waingereza wanaujua moto wa macho madogo
Mtoa mada ameongea kinyumeMmh umewahi kumsikia akaongea ung'eng'e? Mtu utashangaa huyu jamaa kweli pamoja na kuishi mbele miaka na miaka hiki ndo kiingereza anaongea?
nawapenda sana dada zenu wa kibena. nataka nikirudi bongo nioe mmoja nitulie naye Iringa.Hiyo ni lugha tu mbona mimi naongea kibena vizuri sana.
Sawa bwa shemeji karibunawapenda sana dada zenu wa kibena. nataka nikirudi bongo nioe mmoja nitulie naye Iringa.
Marekani anafundisha chuo kikuu, somo la kiswahili. mkewe ni mzungu, nyumbani wanaongea kiingereza yeye na mkewe na watoto wake, mtaani na kila mahala. kama hajui ni kujitakia tu. amekaa huko miaka zaidi ya 10 na zaidi huko, ila hajadaka kabisa lafudhi.Jamaa ana kingereza kibovu alafu naskia kafundisha mpaka vyuo marekani. Lakini kingereza cha kukijua kwenye utu uzima uwa hakikai vizuri
Nani alikwambia hawajui? Kwa taarifa yako ni somo kabisa kuanzia level za chini. Huwez kutaka kumiliki uchumi wa dunia wakati hujui lugha ya washindani wako na wateja wakoMchina hajui kingereza ila waingereza wanaujua moto wa macho madogo
Mkuu unatafuta faraja kwa kuwashindanisha mchina na muingereza?Mchina hajui kingereza ila waingereza wanaujua moto wa macho madogo
Kama ni sawa na kile kiinglish cha Profesor Ndalichako.... Basi nimeshiba! 😂Anapiga kingereza chenye lafudhi ya kimuha,