MAREKANI: Watanzania Diamond, Harmonize na DJ D-Ommy washinda tuzo za Afrimma 2016

Source?
 
Hizi taasisi za kimataifa ipo siku zitatoa na tuzo ya kula mashonde!!!
Maana tuna kiu sana ya tuzo.
 
kwenye list mbona KIBAKULI HAYUPO.. au anasubiri tuzo za mombasa
 
Huyu Harmonise si ndie aliambiwa hajui kuimba kwenye Bongo star search?
 
Duh sijashhtuka sana kwa sababu nilipiga kura nyingi kadri nilivyoweza ila ningeshtuka kama kibaka angepata tuzo wakat nilimpa kura moja basi ila mwisho wa.siku nakuombea kwa mungu akutie nguvu kibakuli katika kipindi hiki kigumu unachokipitja maana ni ngumu kumeza
 
hongera kwao...najivunia mafanikio yao kama vijana wenzangu wa kitanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…