Marekani watoa sharti kwa Qatar kwamba HAMAS wafukuzwe mara moja kama watakaidi azimio la sasa la Israel

Netanyahu si alisema hawawezi kukaa meza moja na magaidi na wameishaimaliza Hamas😀
Kachanganyikiwa huyo waisraeli kule Tel avivi wanachoma nchi wanamtafuta wamle nyama. Huku ICC wanatarajia kutoa hati ya kukamatwa kuanzia wiki ijayo. Huku upande wa pili jamaa wa resistance wamemwambia "Enter rafah at your own risk" hajui aelekee wapi.
 
Sijui watahamia wapi au waje huku kwa wanaopenda kufia haya mavitu...

US Secretary of State Anthony Blinken warned Qatar last month that they should expel Hamas senior officials if the terror group rejects another ceasefire proposal, the Washington Post reported Saturday morning.

Qatar reportedly responded that they told Hamas leadership to be prepared for a scenario in which they would be forced to leave the country.

Three senior officials cited in the report claimed Qatar was preparing for Hamas’s expulsion for months due to frustration with Hamas’s unwillingness to accept ceasefire proposals, frustration that has grown with Hamas's lack of response to the current proposal.

Poleni brazaj
 
Kachanganyikiwa huyo waisraeli kule Tel avivi wanachoma nchi wanamtafuta wamle nyama. Huku ICC wanatarajia kutoa hati ya kukamatwa kuanzia wiki ijayo. Huku upande wa pili jamaa wa resistance wamemwambia "Enter rafah at your own risk" hajui aelekee wapi.
Rafah ataingia na hakuna kitu mtafanya
 
Rafah ataingia na hakuna kitu mtafanya
Akiingia akafanya mauaji ndiyo vita vitaisha na wapelestina na Hamas wataisha acha aingie kaishauwa watu 43.000 na zaidi ndiyo kwanza Wapeletina wanazidi kuwa kitu kimoja na dunia ya wapenda haki wote wapo Pelstina.
 
Hao magaidi wa Hamas walioko Qatar kwa nini wasiishi na wenzao Gaza.? Wanaogopa nini hadi waishi ukimbizini Qatar.? Kwa nini wenyewe wawe ni watu wa kukimbia kimbia tu kama ndege..!!?⁉️
 
Pini imewakaa, Hamas wamewashika pabaya mayahudi na huu ndio mwisho wao

HAMAS magaidi wa uislamu wamejificha ndani ya kina mama na watoto, kila wakiguswa dunia inalia lia, inabidi Israel watumie nguvu nyingi sana kutenganisha watoto na hao magaidi wenu.
 
Naona unapuyanga tu, hujui unachokisema.

Kwa hiyo unataka kusema kuwa uongozi wa HAMAS ulioko Qatar hauhusiki na October 7?

Chuki yako kali inakufanya usione vitu obvious

HAMAS magaidi wa uislamu wamejificha ndani ya kina mama na watoto, kila wakiguswa dunia inalia lia, inabidi Israel watumie nguvu nyingi sana kutenganisha watoto na hao magaidi wenu.
Hao huko Qatar ni viongozi wa kisiasa....
 
Na ndio kero, huwezi kutenganisha uislamu na ugaidi...watu wamepewa hifadhi wakimbizi lakini hawatuliii..
Naam; pepo la ugaidi linaendelea kuwatafuna. Huko watakapokimbilie e.g. Iran, Yemen,Afghanistan au Urusi ndo balaa zaidi kwani ukiangalia kwa undani Myahudi anatumia mbinu ya divide and rule akimaanisha separate them and then neutralize them accordingly. Inakuwa ni rahisi kwa Myahudi kudeal na viongozi hao mmoja-mmoja kuliko viongozi hao wakiwa wamejilundika sehemu moja. Tusubiri tuone. IDF iko akili mingi. :KEKBye:
Kukimbilia Urusi sio rahisi kwani Urusi ana jambo lake na Ukraine na limemchosha hataki ghasia za hawa wapenda bikra.
 
HAMAS magaidi wa uislamu wamejificha ndani ya kina mama na watoto, kila wakiguswa dunia inalia lia, inabidi Israel watumie nguvu nyingi sana kutenganisha watoto na hao magaidi wenu.
Uharo mtupu.
 
Hao magaidi wa Hamas walioko Qatar kwa nini wasiishi na wenzao Gaza.? Wanaogopa nini hadi waishi ukimbizini Qatar.? Kwa nini wenyewe wawe ni watu wa kukimbia kimbia tu kama ndege..!!?⁉️
Nimecheka sana huyu punguani wa JF yupo Ushirobo Yahudi jeusi anawapangia Hamas cha kufanya😅
 
HAMAS magaidi wa uislamu wamejificha ndani ya kina mama na watoto, kila wakiguswa dunia inalia lia, inabidi Israel watumie nguvu nyingi sana kutenganisha watoto na hao magaidi wenu.
Hao huko Qatar ni viongozi wa kisiasa....

1715348787747.jpeg
 
Hao magaidi wa Hamas walioko Qatar kwa nini wasiishi na wenzao Gaza.? Wanaogopa nini hadi waishi ukimbizini Qatar.? Kwa nini wenyewe wawe ni watu wa kukimbia kimbia tu kama ndege..!!?⁉️

Kwani hao akina Nyetanyahu kwa nini haendi yeye kupigana Gaza yule kijana wake kamkimbiza Miami , marekani
 
Hao magaidi wa Hamas walioko Qatar kwa nini wasiishi na wenzao Gaza.? Wanaogopa nini hadi waishi ukimbizini Qatar.? Kwa nini wenyewe wawe ni watu wa kukimbia kimbia tu kama ndege..!!?⁉️
Ni dini ya kiislamu kweli na magaidi haswa sema hawapo kwenye combat, ni wakimbizi...
 
Back
Top Bottom