Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
1. Mheshimiwa, ww unataka maswali yako yajibiwe ilhali ww hutaki kujibu kile unachoulizwa.Jibu swali
Si ndiyo Paulo atakuwa kasema uongo au vipi?
2. BTW; nI Mamlaka gani inayotupa Uwezo (mimi na wewe) wa kumhukumu Paulo kuwa ni mwongo au vinginevyo?
3. Nimekuuliza ww ni wa Imani gani hutaki kujibu.
Angalizo:Tafadhali, jitahidi na ww pia kujibu yale unayoulizwa sio kung'ang'ania ujibiwe wewe tu.