Marekani watoa sharti kwa Qatar kwamba HAMAS wafukuzwe mara moja kama watakaidi azimio la sasa la Israel

eunuch
/ˈjuːnək/
noun
a man who has been castrated, especially (in the past) one employed to guard the women's living areas in an Asian court.
an ineffectual person.
"a nation of political eunuchs"
******************************************
Shida ni kwamba watu hamtaki kusoma na hiyo elimu ya madrasat haina faida yoyote katika dunia hii ya sasa na ndio maana watu mnabaki siku zote kulalamika kwamba mko wachache kwenye ajira mbalimbali zinazohitaji elimu dunia na utamchukuaje mtu umuweke kwenye ajira inayohitaji taaluma eg Engineer, Teacher, Accountant, Physician, Legal Officer, IT Specialist nk wakati yeye kasomea madrassa tu..😯😯
 
Wewe unayesoma Sunday school , Vipi hapa tena ??

there are those who choose to live like eunuchs for the sake of the kingdom of heaven. The one who can accept this should accept it.”

Deuteronomy 23:1-6 No eunuch is to enter the congregation of GOD.
 
Jifunze kwanza uelewe maana ya neno "Eunuch as opposed to the word Homosexual" ndio urudi uandike. Madrasat hailipi, unaona sasa.

NB: Please, avoid washing your dirty linen in public.

Jifunze wewe kunitajia eunuch mmoja katika kanisa lenu kwa tafsiri hiyo uliyoiandika , labda wewe ??
 
Kwa hivyo Paulo ni muongo aliposema kuwa hawatoingia
Sorry,Point of order: Uzi huu unaihusu Marekani wametoa sharti kwa Qatar.......
Kwa heshima ya uzi huu; Hii hoja tunayoijadili mm na ww iko nje ya mada.
Lakini nikujibu kwa kifupi tu kwamba Paulo sio msemaji au mwamuzi wa ni Nani watakaoingia.
 
eunuch
/ˈjuːnək/
noun
a man who has been castrated, especially (in the past) one employed to guard the women's living areas in an Asian court.
an ineffectual person.
"a nation of political eunuchs"
******************************************
Shida ni kwamba watu hamtaki kusoma na hiyo elimu ya madrasat haina faida yoyote katika dunia hii ya sasa na ndio maana watu mnabaki siku zote kulalamika kwamba mko wachache kwenye ajira mbalimbali zinazohitaji elimu dunia na utamchukuaje mtu umuweke kwenye ajira inayohitaji taaluma eg Engineer, Teacher, Accountant, Physician, Legal Officer, IT Specialist nk wakati yeye kasomea madrassa tu..😯😯
Mkuu, Nashangaa sana. Wanadhani Elimu ni lelemama na Ajira ni za mgawo kama Wale jamaa wanavyogawa nyama za mbuzi na kondoo bure.:4WeirdJam:
 
Sorry,Point of order: Uzi huu unaihusu Marekani wametoa sharti kwa Qatar.......
Kwa heshima ya uzi huu; Hii hoja tunayoijadili mm na ww iko nje ya mada.
Lakini nikujibu kwa kifupi tu kwamba Paulo sio msemaji au mwamuzi wa ni Nani watakaoingia.

Mara hii umeukumbuka uzi maana umejiona kuwa unalishwa matango pori kwenye shule ya kanisa ,
Kimbia lakini Paulo kasema gays hawatoingia ufalme wa Mungu kinyume na ulivyoandika
Utambuwe , Eunuch ni gays
 
Kaa kama ulivyo.
 
Si ndiyo Paulo atakuwa kasema uongo au vipi?
Wewe unasemaje hapo? Nini maoni yako au mtizamo wako? Halfu mkuu, Naomba uniambie wewe ni wa Imani ipi ili nisije nikawa najadiliana na the wrong person.
 
Ni wapi nimeongelea mambo ya Kanisa?
Kwani nimeandika umeongelea kanisa?
Jibu swali ,
Unaweza kuniambia jina la towashi mmoja tu katika kanisa lenu ?
Au kiswahili kimeanza kukupiga chenga?
 
Wewe unasemaje hapo? Nini maoni yako au mtizamo wako? Halfu mkuu, Naomba uniambie wewe ni wa Imani ipi ili nisije nikawa najadiliana na the wrong person.

Jibu swali

Back
Top Bottom