Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Kachanganyikiwa huyo waisraeli kule Tel avivi wanachoma nchi wanamtafuta wamle nyama. Huku ICC wanatarajia kutoa hati ya kukamatwa kuanzia wiki ijayo. Huku upande wa pili jamaa wa resistance wamemwambia "Enter rafah at your own risk" hajui aelekee wapi.Netanyahu si alisema hawawezi kukaa meza moja na magaidi na wameishaimaliza Hamas😀
Mweu mwingine huyu hapa.Kachanganyikiwa huyo waisraeli kule Tel avivi wanachoma nchi wanamtafuta wamle nyama. Huku ICC wanatarajia kutoa hati ya kukamatwa kuanzia wiki ijayo. Huku upande wa pili jamaa wa resistance wamemwambia "Enter rafah at your own risk" hajui aelekee wapi.
Sijui watahamia wapi au waje huku kwa wanaopenda kufia haya mavitu...
US Secretary of State Anthony Blinken warned Qatar last month that they should expel Hamas senior officials if the terror group rejects another ceasefire proposal, the Washington Post reported Saturday morning.
Qatar reportedly responded that they told Hamas leadership to be prepared for a scenario in which they would be forced to leave the country.
Three senior officials cited in the report claimed Qatar was preparing for Hamas’s expulsion for months due to frustration with Hamas’s unwillingness to accept ceasefire proposals, frustration that has grown with Hamas's lack of response to the current proposal.
US demands Qatar expel Hamas if they reject another ceasefire - Washington Post
The push to remove Hamas leaders from Qatar comes as growing frustration arose from Hamas's unwillingness to accept ceasefire proposals.www.jpost.com
Poleni brazaj
Rafah ataingia na hakuna kitu mtafanyaKachanganyikiwa huyo waisraeli kule Tel avivi wanachoma nchi wanamtafuta wamle nyama. Huku ICC wanatarajia kutoa hati ya kukamatwa kuanzia wiki ijayo. Huku upande wa pili jamaa wa resistance wamemwambia "Enter rafah at your own risk" hajui aelekee wapi.
Akiingia akafanya mauaji ndiyo vita vitaisha na wapelestina na Hamas wataisha acha aingie kaishauwa watu 43.000 na zaidi ndiyo kwanza Wapeletina wanazidi kuwa kitu kimoja na dunia ya wapenda haki wote wapo Pelstina.Rafah ataingia na hakuna kitu mtafanya
Kama kashindwa Gaza akaondoa majeshi basi na rafah atashindwa.Rafah ataingia na hakuna kitu mtafanya
Pini imewakaa, Hamas wamewashika pabaya mayahudi na huu ndio mwisho wao
Naona unapuyanga tu, hujui unachokisema.
Kwa hiyo unataka kusema kuwa uongozi wa HAMAS ulioko Qatar hauhusiki na October 7?
Chuki yako kali inakufanya usione vitu obvious
Naam; pepo la ugaidi linaendelea kuwatafuna. Huko watakapokimbilie e.g. Iran, Yemen,Afghanistan au Urusi ndo balaa zaidi kwani ukiangalia kwa undani Myahudi anatumia mbinu ya divide and rule akimaanisha separate them and then neutralize them accordingly. Inakuwa ni rahisi kwa Myahudi kudeal na viongozi hao mmoja-mmoja kuliko viongozi hao wakiwa wamejilundika sehemu moja. Tusubiri tuone. IDF iko akili mingi.Na ndio kero, huwezi kutenganisha uislamu na ugaidi...watu wamepewa hifadhi wakimbizi lakini hawatuliii..
Uharo mtupu.HAMAS magaidi wa uislamu wamejificha ndani ya kina mama na watoto, kila wakiguswa dunia inalia lia, inabidi Israel watumie nguvu nyingi sana kutenganisha watoto na hao magaidi wenu.
Nimecheka sana huyu punguani wa JF yupo Ushirobo Yahudi jeusi anawapangia Hamas cha kufanya😅Hao magaidi wa Hamas walioko Qatar kwa nini wasiishi na wenzao Gaza.? Wanaogopa nini hadi waishi ukimbizini Qatar.? Kwa nini wenyewe wawe ni watu wa kukimbia kimbia tu kama ndege..!!?⁉️
Na ndio kero, huwezi kutenganisha uislamu na ugaidi...watu wamepewa hifadhi wakimbizi lakini hawatuliii..
HAMAS magaidi wa uislamu wamejificha ndani ya kina mama na watoto, kila wakiguswa dunia inalia lia, inabidi Israel watumie nguvu nyingi sana kutenganisha watoto na hao magaidi wenu.
Hao huko Qatar ni viongozi wa kisiasa....
Hao magaidi wa Hamas walioko Qatar kwa nini wasiishi na wenzao Gaza.? Wanaogopa nini hadi waishi ukimbizini Qatar.? Kwa nini wenyewe wawe ni watu wa kukimbia kimbia tu kama ndege..!!?⁉️
Hao magaidi wa Hamas walioko Qatar kwa nini wasiishi na wenzao Gaza.? Wanaogopa nini hadi waishi ukimbizini Qatar.? Kwa nini wenyewe wawe ni watu wa kukimbia kimbia tu kama ndege..!!?⁉️
Ni dini ya kiislamu kweli na magaidi haswa sema hawapo kwenye combat, ni wakimbizi...
ExactlyKama vile huwezi kutenganisha ukristo na ushoga
List of Christian denominations affirming LGBT people - Wikipedia